kama mwanamke, labda ana mimba. Kama ni mwanamme labda ana busha.
wakiwa na mimba wanakuwa hivyo.
kama mwanamke, labda ana mimba. Kama ni mwanamme labda ana busha.
Ukweli mtupu!!
basi kwangu ni tofauti hata kimoja hakipo vp upande wako?????
wee ni ke au me?
me
haya jibu swali langu je ulishawahi kuwa na busha??????
Kwa hiyo mimi nitaanza kukufuatilia nikiona tu umeanza vitabia hivyo najuwa tayari umeanza michepuko
Ndo hvo kipenz..ila mpaka tufikie huku c bora tuambizane ukweli!"
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
Mimi napigiwa baada ya siku tatu,nikituma text sijibiwi.kwahiyo sina changu tena nichepuke polepole
total wrong.........!!!!!!!!!!!!
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.[/Q
kumbe ndivyo ilivyo!!!!!!!!!!!!