kuna wengine ving'ang'anizi usiombe.pamoja na hizo zote hapo juu habanduki...anasubiri aambiwe baby its over!!
Kwenye game humalizi tu?
Muda mwingine unapimwa kama una mapenzi ya dhati,jinsi usivyo kata tamaa upesi na yeye ndo anarudisha moyo nyuma.
Mmmh!! wacha nicheke mie
.View attachment 233700
Kuna ukwel japo sio kw kila mtu. Kuna watu wana hulka y kutopiga cm au kuandik sms mar kw mar,watu hawa hupiga cm mar chache sana kw wiki,ila wanawapenda sana wenzi wao. Na weng wao huwa wanaume. Tafiti zinaonyesha wanawake wako busy sana na sim kuliko wanaume,ndo mana weng wao huwa wanaona hawapendw au wamechokwa,ila sio kwel. Wanaume wanaongoz kw kupuuzia sms na col wakiwa kazin,lkin mdada anaweza acha kumhudumia mteja ili achat kwnz na bwanake. Na mara nying huwa hawana jambo la maana sana la kuongea,mara umekula nn,umevaa nn leo,vipi jana ulijiskiaje nlivyokuja kwako,utatoka saa ngapi. Yan vitu rahis rahis. Anyway ndo nature yao. Kesi kama hizo vidume tushazizoea.
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
kama mwanamke, labda ana mimba. Kama ni mwanamme labda ana busha.
pia ukiomba m.z.g.o. anakwambia kiuno kinauma au kimeteguka.
hizi ni dalili za mwanaume kumchoka babie wake ama haujawa specific