alexanderpascal
Member
- Mar 15, 2015
- 10
- 1
ndojinc walivyo wanawake
Mimi napigiwa baada ya siku tatu,nikituma text sijibiwi.kwahiyo sina changu tena nichepuke polepole
Na ukipigiwa simu mpaka keroo na penyewee inakuwajeee???
Kuna wengine ving'ang'anizi usiombe.Pamoja na hizo zote hapo juu habanduki...anasubiri aambiwe baby its over!!
unapomwambia its over bado unamwita baby??
Hivi kwanini mtu ahangaike kumfanyia yote hayo mwenzake, si bora kuwa wazi tu uhusiano uishe kuliko kupotezeana muda
Ongeza na hii kuficha ficha simu na kuweka password
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.