Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
Kuna wengine ving'ang'anizi usiombe.Pamoja na hizo zote hapo juu habanduki...anasubiri aambiwe baby its over!!
unapomwambia its over bado unamwita baby??

kama mwanamke, labda ana mimba. Kama ni mwanamme labda ana busha.
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
unapomwambia its over bado unamwita baby??
Na kama hana simu?
muulize mleta uzi
haiwahusu wanandoa hii1.Hupigiwi simu hadi umpigie