Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

Dalili za kuchokwa na mpenzi wako

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
 
kama mwanamke, labda ana mimba. Kama ni mwanamme labda ana busha.
 
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.
hiyo niliyoikoleza ndo haswaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!:A S 109:
 
wala si kweli mi mbona hata mwaume mwenzangu naweza mjibu hivyo? unipigie simu usiku halafu unaongea pumba unadhani nani anapenda?

jitu linakupigia simu usiku halafu linakuuliza eti umelala? ebo nikikujibu niko barazani naota juwa utakasirika?
 
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.

duuh..kweli mkuu
 
rudi kwenye mada husika mkuu usibadili jezi utapoteza wachezaji wako!!!!!
 
pia ukiomba m.z.g.o. anakwambia kiuno kinauma au kimeteguka.
 
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.

hizi ni dalili za mwanaume kumchoka babie wake ama haujawa specific
 
1.Hupigiwi simu hadi umpigie
2.Hutumiwi sms hadi utume
3.Usipomtafuta halalamiki wala hakuulizi
4.Ukimpigia anakwambia yupo bize.
5.Ukimpigia simu ucku anakwambia anataka kulala au simu haina charge ukikaa kidogo ukipiga tena no. Bize.
UKIONA HIVYO UJUE HAPO HUNA CHAKO KAA TU PEMBE UANGALIE USAARABU MWINGINE WALA USISUBIRI KUAMBIWA UMECHOKWA.

asa kama kila siku mnangonoka kifo cha mende tu hamna dalili zozote za ndoa hizo dalili zinaweza kuwa sahihi
 
Back
Top Bottom