Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,743
Miaka ya nyuma maonyesho ya Sabasaba Kilwa Road yalikuwa yanashamiri na kuleta picha Fulani hivi kuhusu uchumi wa mtu mmoja mmoja na makampuni yanayoshiriki.
Lakini mwaka huu kwa karibia ya wiki sasa yamedorora na mabanda mengi hayajafungukiwa na hata wananchi hawana furaha ya kufuatilia kwa nini?
Kuna dalili mbaya sana ya mwenendo wa nchi kiuchumi wa watu wake, kila mtu kapigika au tuseme wengi wamepigika na hakuna jitihada ya wazi kulikabili hilo.