Dalili Mbaya Kiuchumi, Hata Maonyesho ya Sabasaba yamedoda!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,140
Miaka ya nyuma maonyesho ya Sabasaba Kilwa Road yalikuwa yanashamiri na kuleta picha Fulani hivi kuhusu uchumi wa mtu mmoja mmoja na makampuni yanayoshiriki.
Lakini mwaka huu kwa karibia ya wiki sasa yamedorora na mabanda mengi hayajafungukiwa na hata wananchi hawana furaha ya kufuatilia kwa nini?
Kuna dalili mbaya sana ya mwenendo wa nchi kiuchumi wa watu wake, kila mtu kapigika au tuseme wengi wamepigika na hakuna jitihada ya wazi kulikabili hilo.
 
Ile barabara ya Kilwa Road na Mandela kuelekea Sabasaba ilikuwa haipitiki. Nilishangaa Jumamosi na Jumapili majuzi nilipita huko ni kweupe tu na imagine ilikuwa ni weekend. So far hali itakuwa inadorora hope ita pock up tena. Unaambiwa walio kwenye mabanda wanasema wanapoteza muda maana hakuna wananchi. Ukweli hata wenye senti kidogo wamekuwa makini sana na matumizi maana hawaijui kesho itakapokucha.
 
Miaka ya nyuma maonyesho ya Sabasaba Kilwa Road yalikuwa yanashamiri na kuleta picha Fulani hivi kuhusu uchumi wa mtu mmoja mmoja na makampuni yanayoshiriki.
Lakini mwaka huu kwa karibia ya wiki sasa yamedorora na mbanda mengi hayajafungukiwa na hata wananchi hawana furaha ya kufuatili kwa nini?
Kuna dalili mbaya sana ya mwenendo wa nchi kiuchumi wa watu wake, kila mtu kapigika au tuseme wengi wamepigika na hakuna jitihada ya wazi kulikabili hilo.

Hivi nyinyi BAVICHA mnachosimamia sasa ni kipi? Maana mnatuchanganya sasa wananchi.
 
Pamoja na uzinduzi wa Marais wawili bado unasema yamedoda kweli.
 
Mwaka huu watu hawana pesa mana unaweza kupiga stori kwenye banda lako mpaka ukajisahau ka upo sabasaba kuonyesha biashara yako mana raia ni wa kuhesabu
 
Hivi nyinyi BAVICHA mnachosimamia sasa ni kipi? Maana mnatuchanganya sasa wananchi.
Toka lini maji na mafuta vikachanganyika ndo unachotaka Wewe uelewe msimamo wa watu unaowapinga jiulize kwanza uvccm wanasimamia nn
 
Back
Top Bottom