Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 419
Licha ya kutuma tuma texts zisizojibiwa kila wakati, dalili gani nyingine inaonesha kwamba una force Mahusiano?[emoji17][emoji17][emoji17]
Ulikuwa nini kudai Katiba Mpya ?Niliwahi kuwa na mahusiano ambayo hata sijui yalihusiana na nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba yeye anakua anasubir text au call bila hvo ...imetoka hiyoWewe ndo unawasiliana mwenzako anajibu text tu. Yaani sio mwanzilishi wa mahusiano
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nshapitia Hiki kipindi ..sema na mm nkabadili gear nkawa sitoi huduma at the end kila mmoja akala 50 zakekupotezewa ukiomba game mpaka atakapo yeye.
Ndiyo guarantee kwamba hawezi kukuacha au kuachwa?Kama bado hujamla kubali kujifanya bwege.
inahitaji upitie haya ili ujifunzeKuna watu mna mioyo ya kung'ang'ania...hivi mtu umempigia amekujibu nyodo au kakukaushia unaendelea kumtafuta wa kazi gani?au huyo kiumbe huwa anakunya noti za dollar mia mia?