Dalili gani inaonesha kwamba una-force mahusiano?

Dalili gani inaonesha kwamba una-force mahusiano?

Kuna watu mna mioyo ya kung'ang'ania...hivi mtu umempigia amekujibu nyodo au kakukaushia unaendelea kumtafuta wa kazi gani?au huyo kiumbe huwa anakunya noti za dollar mia mia?
Kipindi sijakomaa akili nilikuwa nang'ang'ania,nilikuwa siwezi kubalance shobo[emoji16]

Now[emoji3]sijui nipo na roho gani,yaani sijutii kupoteza kitu ninachoona kinanipotezea muda

Siku ya kwanza kimya...nitakutafuta
Ya pili....nitakutafuta
Ya tatu.....hii ni mwisho nafuta kila kitu chako kilicho kwenye simu yangu stop.
 
Duh,kwahyo unawabadilisha Kama njugu
Acha tu hiyo ni past kwa sas sinafamilia nishemeji tu kama mume ameshiba cha mtu cha mtu. Ila zamani ndio hivyoo.
Nasota kukupata nikikupata hiyo show moja tu nakausha kama sio mimi.

Yaani sio kwakupenda kwangu.Ilandio najikuta tu nipo hivyooo.Ila ukipatikana ndio inabidi utulie .
 
Back
Top Bottom