meghan markle
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 489
- 1,196
huwa najiuliza ndo mfano kampakata alafu bahati mbaya wakati anambeba mkamgongesha kwenye sitiUngempakata tu mwaya..mtoto hana kosa,ila mama ndo anakosa la kukuwekea mtoto bila ruhusa yako.
Halafu situations kama hizo ukiziona jitoe kusaidia,ni njia mojawapo ya kutenda wema na kujiwekea akiba ya mema.Mimi miaka yote nlikua nkipanda daladala sipendi kabisa kuona katoto kamesimama mi nimekaa.ntafanya nnchoweza hata nsogee apate nafasi kidogo akae.
huwa najiuliza ndo mfano kampakata alafu bahati mbaya wakati anambeba mkamgongesha kwenye siti
Kumbe upo Dar, jioni nitafute nikupe kuku chomaLeo nilipanda kosta ya kawe nikakaa siti ya kwanza kabisa pembeni ya mlango.Njiani akapanda mmama watoto wanne na binti,sasa yule mama akambwaga mtoto mmoja miguuni kwangu asiseme kitu.
Me nikanyamaza tukatembea vituo kama vitatu mtoto akaanza kucheza cheza mamaake anamuuliza una nini mtoto hasemi....mama na binti walikua wamesimama pembeni yangu mama akamnong'oneza binti na mimi nasikia.
"Huyu dada anaroho ngumu hata kumpakata mtoto kama hamuoni itakua hajazaa... sijui anashuka wapi nikae".
Sikushindwa kumpakata yule mtoto sema mama mtoto alijifanya hajielewi alishindwa kuniomba nimpakatie mtoto wake?
Kumsaidia mtu siyo lazima ila kama unahitaji msaada kwanini usiombe?nilishuka Morocco nikamuachia nafasi.
swadakta mkuu mie huwa sishangai mtu asipotoa msaada hata ka alistahiki maana nimeona mengi ambayo yamefanya watu wasitoe msaada, binafsi siwezi pakata mtoto wa mtu kwa daladala bora nimwache akae nikiona kumwache akae kwangu itaniumiza sihangaiki naeKuna bahati mbaya..itategemea na response ya mwenyewe mtoto.
pole mkuu hivyondivyo visa ambavyo nami vinanifanya nikimbilie viti vya nyuma ama kwa dereva pemben 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nakumbuka nilimsaidiaga bi dada mmoja kumpakata mwanae ktk daladala,katoto kalinimwagia kojo kiasi kwamba hadi leo sipakati mtoto wa mtu na sikai siti za karibu na mlangoni.
Hilo jina nikadhani dume kumbe ke jamani mbadilike mtakosa vingiLeo nilipanda kosta ya kawe nikakaa siti ya kwanza kabisa pembeni ya mlango.Njiani akapanda mmama watoto wanne na binti,sasa yule mama akambwaga mtoto mmoja miguuni kwangu asiseme kitu.
Me nikanyamaza tukatembea vituo kama vitatu mtoto akaanza kucheza cheza mamaake anamuuliza una nini mtoto hasemi....mama na binti walikua wamesimama pembeni yangu mama akamnong'oneza binti na mimi nasikia.
"Huyu dada anaroho ngumu hata kumpakata mtoto kama hamuoni itakua hajazaa... sijui anashuka wapi nikae".
Sikushindwa kumpakata yule mtoto sema mama mtoto alijifanya hajielewi alishindwa kuniomba nimpakatie mtoto wake?
Kumsaidia mtu siyo lazima ila kama unahitaji msaada kwanini usiombe?nilishuka Morocco nikamuachia nafasi.
Unaogopa kubambiwa?Mimi tabia ya wanaume kujibananiza kwenye makalio inanichefuaga sana.
Wanaume wenye izo tabia jirekebisheni

NdioUnaogopa kubambiwa?![]()
Amesema yupo Morocco, yaani huko Rabat, Casablanca, yaani yupo njiani kwenda Misri kuishangilia Staaz

Pouwa sio kwa jibu lileMambo