Daladala

Daladala

Kupakata mtoto wa mtu unaweza zushiwa mengine,

Hawachelewi kusema unam-bashia kwa sisi wanaume
 
Ungempakata tu mwaya..mtoto hana kosa,ila mama ndo anakosa la kukuwekea mtoto bila ruhusa yako.
Halafu situations kama hizo ukiziona jitoe kusaidia,ni njia mojawapo ya kutenda wema na kujiwekea akiba ya mema.Mimi miaka yote nlikua nkipanda daladala sipendi kabisa kuona katoto kamesimama mi nimekaa.ntafanya nnchoweza hata nsogee apate nafasi kidogo akae.
 
kawaida yenu wanawake mna roho mbaya sana hilo tu daladala je ukiwa na gari yako ukiwakuta stand ?? ,mbona wanaume tunapisha hata kabla hatujaombwa awe mzee,mwnye mtoto,mwenye mimba.

NONSENSE SANA WEWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom