Daladala za Arusha zagoma

Daladala za Arusha zagoma

Hizo tetesi si za kweli. Mi mipo Arusha na nimepita maeneo ya town na sijakutana na maandamano wala kusikia sauti ya mabomu. Your source is not relialble
 
kuna tetesi kwamba kuna maandamano ya vijana wa chadema mjini arusha na polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwanyamazisha mwenye taarifa zaidi naomba utujuze zaidi
CHADEMA kama chama sijaona wakiandamana lakini kama unaimanisha mtu yoyote akiipiga serikali ya CCM basi ni CHADEMA basi ni kweli wameandamana leo asubuhi kule bauda na mabomu yalipigwa..
 
mm pia nipo arusha town, mbona pako kimya hamna mabomu. Ukweli uliyopo ni madereva wa daladala ndiyo wamegoma kufanya kazi, sababu ya mgomo sijaweza kuipata.
 
kwa maana hiyo kila mpenda haki na mchukia dhulma na unyanyasaji katika nchi hii ni chadema?
basi kama ni hivyo hiki chama ndicho kimbilio la wanyonge kwa sasa.
mimi nipo arusha kwa kweli sijasikia kitu au labda kwa kuwa nipo ofisini.
 
Na Unga ltd yalikuwepo na mabomu ya macho yalipigwa kwenye uwanja wa NMC...
 
Nadhani kutokana na kuwa na ukosefu wa vi-ford abiria imewapasa kutembea, na kwa wingi wao mdau akafikiri ni maandamano. Na kwa kuwa yeye ni mwanachama wa magamba, akaamini kuwa hao wengine wanaotaabika na ukosefu wa daladala aka vi-ford ni wanachama wa CDM na wapo kwenye maandamano.

Ni mtazamo 2!
 
Duh, sipati picha kama coaster zitajaa mjini kama hizi hiace. BTW , Ukitoka mjini unataka kwenda Njiro au Kijenge , stand iko pande ipi?

Coaster moja itachukua nafasi ya at least dala dala tatu na sio lazima kila mtu anaeweza kununua Coaster apewe leseni ya kufanya biashara ya dala dala. Zipo sehemu za dala dala za kusimama wakati wa kuchukua au kushusha abiria (sisemi zinatosha) lakini madereva husimama sehemu yeyote na wakiulizwa na traffic policei inakuwa nii issue. Mimi naona makosa makubwa sana yalifanyiko huko nyuma kuwaruhusu hata waendesha piki piki kufanya biashara ya taxi wakati barabara za Arusha hazina sehemu za waendesha piki piki wengi hivyo, no wonder wanagongwa kila siku. Munispaa ya Arusha inahitaji a serious traffic management team ili kukabiliana na hali hii ya sasa ya madereva hawa kuamua wanachotaka barabarani. Ni lazima twende na wakati, mbona majirani zetu wanaweza, sisi ni wagonjwa kiasi hicho?
 
kuna tetesi kwamba kuna maandamano ya vijana wa chadema mjini arusha na polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwanyamazisha mwenye taarifa zaidi naomba utujuze zaidi

peleka pumba zako huko! kila maandamano chadema chadema! madereva wa madaladala wanaandamana bado mnasema ni chadema.
Kikwete ameshindwa kuongoza, amebaki anatawala!
 
kwa maana hiyo kila mpenda haki na mchukia dhulma na unyanyasaji katika nchi hii ni chadema?
basi kama ni hivyo hiki chama ndicho kimbilio la wanyonge kwa sasa.
mimi nipo arusha kwa kweli sijasikia kitu au labda kwa kuwa nipo ofisini.
Ndiyo tafathiri ya wengi hasa magamba kuwa ukiwapiga tu basi wewe CHADEMA...ni kweli mjini pako shwari lakini sehemu kama relini palikuwa na vurumai kubwa na kule kona ya mbauda kulikuwa na fujo kubwa hasa asubuhi sijajua kwa sasa...
 
wanapenda kukialibia chama cha ukombozi tanzania
 
kuna tetesi kwamba kuna maandamano ya vijana wa chadema mjini arusha na polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwanyamazisha mwenye taarifa zaidi naomba utujuze zaidi

Arusha ilikuwa inahesabika kuwa ni jiji linalokua kwa kasi sana baada ya Mwanza na DSM, kwa mwelekeo huu anguko la Arusha liko mbele yetu kwa sababu za siasa za kukamiana. Wanaofuatilia mambo watagundua kuwa mikutano yote ya kimataifa inayomhusisha Raisi wetu haifanyiki tena Arusha badala yake ni DSM au Dodoma (St. Gaspar); kwa kiasi fulani kwa wenye mahoteli jijini Arusha hili ni pigo kubwa sana. Zaidi sana tangu kuzinduliwa upya kwa East Africa Community mikutano yote ilikuwa inafanyika Arusha lakini mwaka huu Maraisi wa nchi za Africa ya Mashariki walikutana DSM badala ya sehemu iliyozoeleka ya jiji la Arusha.

Kwa wenye mahoteli hii ni changa moto kwa wao kuungana na ikiwezekana wagharamie vikao vya maridhiano ili amani iweze kurejea Arusha na biashara zao ziweze kushamiri. Kama wangekuwa wanaona mbali, wangetumia hata mbinu ya Jairo kupooza mambo kabla ya biashara zao hazijaingia kwenye misukosuko ya kushindwa kulipa mikopo
 
Tumechoka kuona madereva hawa kusimama popote wanapotaka baadala ya kuchukua au kuwashusha abiria kwenye vituo vya basi barabaranii. Wacha washughulikiwe, hawako juu ya sheria hawa na wanatukera sana sisi tuliokuwa na magari binafsi. Nitafurahi sana kama daladala na piki piki zitapigwa marufuku katikati ya jiji na waishie huko Ngulelo, Sakina, Mbauda, Suye/Moshono, Njiro n.k. Mabasi kama ma coaster ndiyo yatumike katikati ya jiji kumpunguza msongamano wa magari.
kwa kuwa una gari basi ushatuchukia sisi na usafiri wetu wa umma siyo! utafanya vema kama utaweka jamvini rekodi yako ya tra tulinganishe uhalali wa mali zako, kinyume chake sentesi zako zanukia ufisadi.
 
Ww unawaza kwa tumboooooooo????kwa muda gani umeanza kumilik GARI?????zisifike mjini kwa ajili yenu????acha maneno ya shombo weweeee
Tumechoka kuona madereva hawa kusimama popote wanapotaka baadala ya kuchukua au kuwashusha abiria kwenye vituo vya basi barabaranii. Wacha washughulikiwe, hawako juu ya sheria hawa na wanatukera sana sisi tuliokuwa na magari binafsi. Nitafurahi sana kama daladala na piki piki zitapigwa marufuku katikati ya jiji na waishie huko Ngulelo, Sakina, Mbauda, Suye/Moshono, Njiro n.k. Mabasi kama ma coaster ndiyo yatumike katikati ya jiji kumpunguza msongamano wa magari.
 
Arusha ilikuwa inahesabika kuwa ni jiji linalokua kwa kasi sana baada ya Mwanza na DSM, kwa mwelekeo huu anguko la Arusha liko mbele yetu kwa sababu za siasa za kukamiana. Wanaofuatilia mambo watagundua kuwa mikutano yote ya kimataifa inayomhusisha Raisi wetu haifanyiki tena Arusha badala yake ni DSM au Dodoma (St. Gaspar); kwa kiasi fulani kwa wenye mahoteli jijini Arusha hili ni pigo kubwa sana. Zaidi sana tangu kuzinduliwa upya kwa East Africa Community mikutano yote ilikuwa inafanyika Arusha lakini mwaka huu Maraisi wa nchi za Africa ya Mashariki walikutana DSM badala ya sehemu iliyozoeleka ya jiji la Arusha.

Kwa wenye mahoteli hii ni changa moto kwa wao kuungana na ikiwezekana wagharamie vikao vya maridhiano ili amani iweze kurejea Arusha na biashara zao ziweze kushamiri. Kama wangekuwa wanaona mbali, wangetumia hata mbinu ya Jairo kupooza mambo kabla ya biashara zao hazijaingia kwenye misukosuko ya kushindwa kulipa mikopo

usiwafundishe watu uoga
 
Back
Top Bottom