Daladala za Arusha zagoma

Daladala za Arusha zagoma

Huyu masao si katika watanzania ,,,,,,,,asilimia kubwa ya watanzania wanaoish mijin wanategemea daladala kwenye mizuungo yao,,,,,,dah sijui aliwaza nn ndo akapost matapish ya kupiga marufuku daladala kwenda town
kwa kuwa una gari basi ushatuchukia sisi na usafiri wetu wa umma siyo! utafanya vema kama utaweka jamvini rekodi yako ya tra tulinganishe uhalali wa mali zako, kinyume chake sentesi zako zanukia ufisadi.
 
usiwafundishe watu uoga

Usemavyo ni kweli kama hujui "Impact" ya kukosekana "Political stability" kwenye jiji la Arusha. kwako wewe kama ile semina elekezi ingefanyika Arusha, mapato ya wenye mahoteli yasingeongezeka?
 
Ndiyo tafathiri ya wengi hasa magamba kuwa ukiwapiga tu basi wewe CHADEMA...ni kweli mjini pako shwari lakini sehemu kama relini palikuwa na vurumai kubwa na kule kona ya mbauda kulikuwa na fujo kubwa hasa asubuhi sijajua kwa sasa...

Mkuu issue nini hasa naona kama AR itakuwa mlango wa Ukombozi maana CCM hatuta watowa kama hatupotayari kwa lolote
 
Maneno mazito sana ndiyo maana muafaka baina ya CCM na CHADEMA niliunga mkono bahati mbaya wengi hawaoni athari za kiuchumi wamekali siasa tu.

Arusha ilikuwa inahesabika kuwa ni jiji linalokua kwa kasi sana baada ya Mwanza na DSM, kwa mwelekeo huu anguko la Arusha liko mbele yetu kwa sababu za siasa za kukamiana. Wanaofuatilia mambo watagundua kuwa mikutano yote ya kimataifa inayomhusisha Raisi wetu haifanyiki tena Arusha badala yake ni DSM au Dodoma (St. Gaspar); kwa kiasi fulani kwa wenye mahoteli jijini Arusha hili ni pigo kubwa sana. Zaidi sana tangu kuzinduliwa upya kwa East Africa Community mikutano yote ilikuwa inafanyika Arusha lakini mwaka huu Maraisi wa nchi za Africa ya Mashariki walikutana DSM badala ya sehemu iliyozoeleka ya jiji la Arusha.

Kwa wenye mahoteli hii ni changa moto kwa wao kuungana na ikiwezekana wagharamie vikao vya maridhiano ili amani iweze kurejea Arusha na biashara zao ziweze kushamiri. Kama wangekuwa wanaona mbali, wangetumia hata mbinu ya Jairo kupooza mambo kabla ya biashara zao hazijaingia kwenye misukosuko ya kushindwa kulipa mikopo
 
Wana jf yatupasa tuwe great thinkers wa ukweli. Huu ni mgogoro wa madereva wa daladala(viford) Arusha na mamlaka za mji.Hii haihusiani na siasa hata kidogo.

Kwa hiyo kama habari si ya siasa haipaswi kuletwa kwenye Jukwaa la Siasa,mimi nadhani sasa tuandike thread zenye umakini na ukweli ndani yake.Si lazima ukiandika thread uweke neno Chadema.Unaweza kuandika thread yako nzuri na ikapata wachangiaji wengi bila kuihusisha na Chadema.

Sio ukiona watu wanaandamana ukasema ni Chadema,kuandamana anaweza andamana mtu yeyote yule.Kama huna taarifa kamili si lazima uandike thread JF,unaweza ukaposti hata kwenye wall yako ya Facebook ujifurahishe wewe na watu wako.
 
Huyu masao si katika watanzania ,,,,,,,,asilimia kubwa ya watanzania wanaoish mijin wanategemea daladala kwenye mizuungo yao,,,,,,dah sijui aliwaza nn ndo akapost matapish ya kupiga marufuku daladala kwenda town

Jogi na Bajabiri, ukweli ni kwamba lazima sheria za jiji zifuatwe na mpende msipende haya yatakuja tu. Hivi mtu akiwa na gari ni fisadi?! Basi ngoja nianze kupanda dala dala ufisadi wangu usafishike!
 
Wana jf yatupasa tuwe great thinkers wa ukweli. Huu ni mgogoro wa madereva wa daladala(viford) Arusha na mamlaka za mji.Hii haihusiani na siasa hata kidogo.

Kwa hiyo kama habari si ya siasa haipaswi kuletwa kwenye Jukwaa la Siasa,mimi nadhani sasa tuandike thread zenye umakini na ukweli ndani yake.Si lazima ukiandika thread uweke neno Chadema.Unaweza kuandika thread yako nzuri na ikapata wachangiaji wengi bila kuihusisha na Chadema.

Sio ukiona watu wanaandamana ukasema ni Chadema,kuandamana anaweza andamana mtu yeyote yule.Kama huna taarifa kamili si lazima uandike thread JF,unaweza ukaposti hata kwenye wall yako ya Facebook ujifurahishe wewe na watu wako.

Siyo mgomo wa kisiasa LAKINI kelele za bomu moja tuu likisikika na mgeni/mtalii ujumbe atakaopeleka nyumbani kwao ni kuwa Arusha hakuna amani; athari zake ni kudumaa kwa uchumi wa watu wenye biashara za kuhudumia wageni hapa jijini Arusha
 
Huyu masao si katika watanzania ,,,,,,,,asilimia kubwa ya watanzania wanaoish mijin wanategemea daladala kwenye mizuungo yao,,,,,,dah sijui aliwaza nn ndo akapost matapish ya kupiga marufuku daladala kwenda town

Jogi, gari langu la kwanza nilinunua mwaka 1976 na ni watanzania wachache sana waliweza kuwa na magari miaka hiyo ya nyuma. Pia kulikuwa na Anti Corruption squad (TAKUKURU kwa sasa) katika miaka ya 70 na 80. Enzi hizo ukinunua hata baiskeli lazime wakuulize ujieleze umepata wapi pesa za kununilia baiskeli! Sasa wewe unakuja na mambo ya TRA, kwa nini hao TAKUKURU na TRA wasiwashughulikie hawa watumishi wa serikali wenye majumba na magari ya kifahari yaliozidi vipato vyao? For you information siyo siku zote nakuwa na gari, kwa maana hiyo huwa napanda dala dala.
Bajabiri, utakuja kumeza matapishi yako mwenyewe pale utaratibu wote wa kuboresha usafiri katika jiji hili litakapokamilika, you mark my words.
 
Siyo mgomo wa kisiasa LAKINI kelele za bomu moja tuu likisikika na mgeni/mtalii ujumbe atakaopeleka nyumbani kwao ni kuwa Arusha hakuna amani; athari zake ni kudumaa kwa uchumi wa watu wenye biashara za kuhudumia wageni hapa jijini Arusha
Madereva wa daladala wanahaki kuandamana kama haki yao inaminywa wenye kosa ni wale wanaorusha mabomu bila kutafuta njia muafaka ya kusuluhisha mambo na hao madeleva wa daladala
 
Maneno mazito sana ndiyo maana muafaka baina ya CCM na CHADEMA niliunga mkono bahati mbaya wengi hawaoni athari za kiuchumi wamekali siasa tu.
Unaajenda binafsi tunakujua tuu kwa maandiko yako tangu uchaguzi , kila mtu anapenda muafaka Arusha ulionyooka sio mwafaka wa konakona,utatuzi unatakiwa uwe wa kudumu sio wa shortcut
 
Nimepata taarifa madereva na makonda 15 waliokamatwa jana kwa kuharibu magari ya serikali wamegoma kushuka kwenye karandinga katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha, wakidai kwanza waonyeshwe vituo vya mabasi vya kushushia abiria Mkoani humo. Kesi imehairishwa wamerejeshwa rumande. Hali si shwari mabomu yamerindima tena leo maeneo ya Unga Limited na Friends Corner.
 
Usemavyo ni kweli kama hujui "Impact" ya kukosekana "Political stability" kwenye jiji la Arusha. kwako wewe kama ile semina elekezi ingefanyika Arusha, mapato ya wenye mahoteli yasingeongezeka?
In Arusha there is no political instability Mkuu. Mikutano kuhamishwa ni game zinazochezwa majuu. Kuna personal interest hapo, siyo siasa. Ukitaka kujua, na kama iq yako inasoma vizuri, jaribu kushirikisha ubongo vizuri.
 
Kwamba waliowekeza Arusha hawajui "Lobbying" ni kitu gani? Ukweli ni kuwa wakuu wa Serikali hawana imani na Arusha; hawako tayari kuzomewa na gharama yake itarudisha maendeleo ya Arusha nyuma.
 
In Arusha there is no political instability Mkuu. Mikutano kuhamishwa ni game zinazochezwa majuu. Kuna personal interest hapo, siyo siasa. Ukitaka kujua, na kama iq yako inasoma vizuri, jaribu kushirikisha ubongo vizuri.

Hata kama kuna political instability!! sioni maana ya kuendelea kuwa chini ya hii serikali isiyojali watu wake! Tembeleeni mahospitali, bandarini, mitaani, viwandani, majumbani, maofisini kote huko utakutana na ujanja ujanja mwingi, 80% ya wafanyakazi hawafanyi kazi ni kupiga soga kwenda mbele. Hii ya kuandamana nusu nusu ndo inayoumiza watu, bora kuandamana hadi kieleweke na siyo leo kesho unabaki nyumbani kula hewa.
 
Kwenye red
Vipi wewe ni mmoja wa wahitimu wa hivi karibuni ambao hawajapata ajira? Unataka kutumia kisingizio cha maandamano kupora mali za wenzio?
 
Leo mabomu mpaka sasa hayajapigwa ila jana kwa kweli hata mimi nilipatwa na moshi wa mabomu pale makao maeneo ya limpopo kuna gari ya dfp ilivunjwa vioo na hao madereva wa hiece, na si chadema. Hata gari langu lilipigwa na jiwe mlango wa nyuma kwa bahati mbaya maana . Kwa nilivyoona mimi walilenga zaidi magari ya serekali. Ila mpaka sasa mgomo unaendelea.....
mwambie aliyekupigia akupigie tena kisha utujulishe, kwa sasa nakwenda lunch - see you then!
 
Kama dk 16 sasa hv hapa Mianzini milipuko inasikika kama enzi ile ya Nduli Amin Dada. Kwa ujumla hali si shwari kabisa! Tujuzane WanaJF.
 
Kuna dcm imechukua abiria wa krediii inawapeleka mirongo 4 imefka maeneo ya JR vjana wakaz wakaanza kuirushia mawe wakaiimbiza na vford kufka karbu na fd force wakapgwa mabomu mbaya kabsa
 
Back
Top Bottom