Daktari kaingia.......

Daktari kaingia.......

aseme kama katoka haya maeneo bana, kuna mtu namdai sasa ananizungusha, najua kama mwanajamii mwenzio utanipa shavu, karibu sana

hahahahaaaa...mtafute katavi atakusaidia sana,si wajua ni jirani wa kayanza?
 
Mie daktari wa wanawake mamie
url
 
Karibu daktari. Ni daktari wa binadamu au wa mifugo? Au ni ile doctorate ya heshima kama JK?

Au kama ile ya Slaa, ya kanoni isiyokuwa na digrii hata moja?

Karibu sana.
 
..................doctore,karibu sana.Habari za huko utokapo?????..........huku kwema ila kama ni wagonjwa tupo wa kila aina,kama ni hospitali basi huku zipo kila aina hadi za kata,achilia mbali zahanati,rufaa.Kama ni dawa zipo chungu na tamu,tena lukuki kwani bohari la madawa ndo mwake humu,utaziona tuuuuuuuuuuuu,kuna aspirin,rangi saba,chloroquine,hadi maji ya uchungu duhhhhhhhh........chonde chonde doctore..................fuata kanuni,...........angalia usije lazwa wewe ukahudumiwa na kutibiwa na wagojwa...........................,lakini pia mchango wako ni muhimu sana......karibu pita hadi ndani upate japo kikombe cha gahawa..................
 
Karibu, je wewe ni daktari au mganga, wengine tunahitaji tiba ya maradhi sugu.:shut-mouth:
 
Karibu Doctore nadhani nshawahi kukuona kwenye 'Spartacus"...uselete ile mambo hapa jamvini...
 
Au kama ile ya Slaa, ya kanoni isiyokuwa na digrii hata moja?

Karibu sana.

FF, with open mind and good faith. You are sick.
Make an appointment with a psychologist!!! I am just advising, no harm to you.

docotre karibu utusaidie kututibia watu kama hawa na Malaria Sugu. Karibu mkuu.:glasses-nerdy:
 
Doctore, karibu sana!
Mhimu kuzingazitia taratibu za JF usije kuwa kero kwa wengi!! wanaJF wengi tunapenda mazuri.
 
..................doctore,karibu sana.Habari za huko utokapo?????..........huku kwema ila kama ni wagonjwa tupo wa kila aina,kama ni hospitali basi huku zipo kila aina hadi za kata,achilia mbali zahanati,rufaa.Kama ni dawa zipo chungu na tamu,tena lukuki kwani bohari la madawa ndo mwake humu,utaziona tuuuuuuuuuuuu,kuna aspirin,rangi saba,chloroquine,hadi maji ya uchungu duhhhhhhhh........chonde chonde doctore..................fuata kanuni,...........angalia usije lazwa wewe ukahudumiwa na kutibiwa na wagojwa...........................,lakini pia mchango wako ni muhimu sana......karibu pita hadi ndani upate japo kikombe cha gahawa..................

shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom