Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,096
- 8,199
Pole sana.
Naitakua tayar ulishanza kuloana ....saturatedKuwaambia watu wajiepushe na uzinzi hilo ni jambo muhimu sana kwangu.
Google inasaidia sana siku hizi.shida yako umetaka kujifanya mkemia kwenye mada yakipuuzi
Wanawake wengi wa bongo ndio mambo yao hayo.Hawa ndio wanawake mnao oa??!!! Zero brain capacity, sexualizing every situation, Dumb, young, stupid & brainless. Poleni
Alikosa mbinu tu. Ila unalika vizuri tu mtumishiAh, wapi. Niko na Yesu mie. Ukija kichwa kichwa utapigwa "KO"
Nimetukana wapi, kama unajua Bumbavu ni tusi basi we kilazaDuh. Ukiongea bila kutukana hainogi?
1 Wakorintho 6:10-12
Pia wezi, walafi, walevi, watukanaji, au waongo wanaowadanganya wengine ili wawaibie hawatakuwa na sehemu katika ufalme wa Mungu.
Si kakuambia huko juu alienda.kupima macho hivi nyie wengine mkisoma ham fahamu au. Hicho kibint kimetunza machine wacha kiendelee kutunza mpa kioleweUlivijuaje hivi vifaa?
Nahisi ww ni mdau wa hiyo field ila hapo nyege tu ndio zimekupeleka kuanzisha huu Uzi.
Sio bongo tu ni kama ka trend ka wanawake wa kisasa (woke) ulimwenguni.Wanawake wengi wa bongo ndio mambo yao hayo.
Sheikh Wewe ukienda kupima macho hivi utajua kwamba hii ni slit lamp, tonometer, fundus camera au penlight? Labda uikute Quran ndio utaitambua ila sio hivyo vifaa huyo dada ni mdau ktk field anatuchezesha akili tu hapa.Si kakuambia huko juu alienda.kupima macho hivi nyie wengine mkisoma ham fahamu au. Hicho kibint kimetunza machine wacha kiendelee kutunza mpa kiolewe
Wewe tatizo lako Paulo alikuharibu akili alipo kuambia Yesu ni Mungu 🤣Sheikh Wewe ukienda kupima macho hivi utajua kwamba hii ni slit lamp, tonometer, fundus camera au penlight? Labda uikute Quran ndio utaitambua ila sio hivyo vifaa huyo dada ni mdau ktk field anatuchezesha akili tu hapa.
Hao unaowasema kwamba ni wambea na wasengenyaji, sio walokole, ni magugu yanayofanana na ngano. Wanywa ulanzi na wanzuki hawaioni njia iendayo uzimani.Huyu ni mlokole wa kwenye keyboard.. kwenye maisha ya uhalisia utakuta hata wanzuki na ulanzi kanakunywa...
Sihitaji hata kukutana nae, wapendwa nawajua tabia zao kama zote huwezi nidanganya...
umbea, kusengenyana, kulana kimasihara ndio zao, nawajua vyema sana, sana...
Lakini usosahau pia wewe kama unasema Yesu ni Mungu pia unaenda JahanamAnayestahili pole ni huyo Daktari maana anajipeleka mwenyewe jehanam
Hiki kitakuwa Made in China?kiberiti