Sasa wewe ni Yesu.. halafu usilinganishe zama za Yesu na sasa.. hata dunia ya 1990s usilinganishe na sasa..Uhalisia upi? Yesu alijaribiwa katika mambo yote lakini hakutenda dhambi. Ukiokoka, anakupa uwezo wa kushinda tamaa za mwili zipiganazo na roho.
Yesu sio mwenzako alizaliwa pasipo msaada wa baba, yule ni abnormal...Daudi ndio msingi wa imani yako? Mimi namfuata Yesu Kristo. Aliongea na mama msamaria kisimani lakini hakumtamani.
Yesu yuko ndani yangu na mimi ndani yake. Yesu aliyeshinda tamaa na dhambi zote ndiye anayeniwezesha na mimi kushinda.Sasa wewe ni Yesu.. halafu usilinganishe zama za Yesu na sasa.. hata dunia ya 1990s usilinganishe na sasa..
Wengi wanasema hivyo tena mbele ya hizo wanaita madhabahu, unamfahamu Gwaji Boy?Yesu yuko ndani yangu na mimi ndani yake. Yesu aliyeshinda tamaa na dhambi zote ndiye anayeniwezesha na mimi kushinda.
Flp 4:13
Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu
Andiko hili lisome tena na tenaYesu sio mwenzako alizaliwa pasipo msaada wa baba, yule ni abnormal...
Mfano mzuri nimekupa Daudi..
Wewe unaweza kufunga siku 40 bila kula ?Mimi niambie wapi Yesu alitenda dhambi ya uzinzi. Tunayepaswa kumfuata ni Yesu. Sio Daudi wala mwanadamu yeyote.
Hiki kifungu sijawahi kumsikia mchungaji wangu akikisoma. Sijui anaogopa kutamka hao mabashaInasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Kweli kabisa Mungu akubariki sana hizi machine ndio za kuowa engine bado untouchedKuwaambia watu wajiepushe na uzinzi hilo ni jambo muhimu sana kwangu.
Kuna mabint wa kikristo wengine mpo safi sana hio machine itunze usiwape wajinga subiri mpa ukisha olewa mpe utamu huo mme wako.Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"

Sema kabisa kwa kujiamini kwamba wewe sio tu easygoing bali wewe pia sio hardgoing😄Acha mzaha bwana. I’m not an easygoing person
Watamfurusha. Raia wa kule ni wakali balaa kuliko wale waliotaka kulala na Malaika.Hiyo mistari ya bible ipeleke kule kunye uzi wa kula kwa masihara utawasaidia
Kumbe ulikuwa unakusanya ushahidi kimya kimya. Siku nyingine nenda na Mumeo😄Umenena vema ndugu yangu. Actually, angeongeza hatua moja tu, ni wazi ningempiga Injili. Kwa stage ile nilikuwa bado sijajiridhisha kama ana nia mbaya au ndivyo walivyofundishwa kuwashika patients wakati wa eye exam. Ndio sababu nimeuliza swali hilo. Ila kwa comments nazoziona hapa, naona ni kweli alikuwa na nia ya uzinzi tu. Mungu amhurumie na kumuokoa popote pale alipo.
Nipe Mimi papuchi,sio mzinzi MimiKuwaambia watu wajiepushe na uzinzi hilo ni jambo muhimu sana kwangu.
Hao wapendwa uliowakutana nao wewe ni wapendwa wa mabox. Hujakutana na wakina Setfree😄Ila wapendwa wanapenda kupigana mashine sana sijui kwanini...
Kanisani kukuta mchungaji anapiga kondoo ni kawaida sana, anawapa na mimba na scandals za ajabu sana....