Huyu ni mlokole wa kwenye keyboard.. kwenye maisha ya uhalisia utakuta hata wanzuki na ulanzi kanakunywa...Hao wapendwa uliowakutana nao wewe ni wapendwa wa mabox. Hujakutana na wakina Setfree😄
Daudi ndio msingi wa imani yako? Mimi namfuata Yesu Kristo. Aliongea na mama msamaria kisimani lakini hakumtamani.
Wengi wanasema hivyo tena mbele ya hizo wanaita madhabahu, unamfahamu Gwaji Boy?
Wa hivi hata wasipoolewa hawanaga cha kupoteza!Kuna mabint wa kikristo wengine mpo safi sana hio machine itunze usiwape wajinga subiri mpa ukisha olewa mpe utamu huo mme wako.
We mnyalukolo unaonekana umejaa mizimu ya kalenga,kwa hiyo unataka kusema kwamba Setfree pamoja na vifungu vyote hivi anapretend?. Kwa akili zako unadhani anaandika haya kwa lengo gani?Huyu ni mlokole wa kwenye keyboard.. kwenye maisha ya uhalisia utakuta hata wanzuki na ulanzi kanakunywa...
Sihitaji hata kukutana nae, wapendwa nawajua tabia zao kama zote huwezi nidanganya...
umbea, kusengenyana, kulana kimasihara ndio zao, nawajua vyema sana, sana...
Ushindwe kwa jina la YesuSasa wewe unashangaa kuzungushiwa mkono shingoni ingekuwa mimi ingawa nakucheki macho.lakini mkono mmoja ungekuwa ndani ya sketi yako nikishika mapaja yako laini
Acha kujipendekeza...We mnyalukolo unaonekana umejaa mizimu ya kalenga,kwa hiyo unataka kusema kwamba Setfree pamoja na vifungu vyote hivi anapretend?. Kwa akili zako unadhani anaandika haya kwa lengo gani?
Kuolewa sio kila kituWa hivi hata wasipoolewa hawanaga cha kupoteza!
Mimi nigemla denda..Kushikwa shingo tu una maindi ungekutana na mimi mkono wa kushoto naingiza kwenye nyonyo wa kulia kiunoni ingekuaje
Ni kweliKuolewa sio kila kitu
Ulivijuaje hivi vifaa?Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Acha fallacy generalisation. Unaamini sana kwenye hisia zako na ukishaamini hutaki mawazo mbadala. Kichwa chako ndio Serikali yako!Acha kujipendekeza...
Mara nyingi mnaongea vitu ambavyo sio realistic na mimi napenda kuzungumza vitu realistic, ili kumaliza hamu za kimwili lazima ufanye uchakataji kama ni mwanamke achakatwe vilivyo.. huu upuuzi wa kudanganyana kuna maombi sijui upako ni ujinga...Acha fallacy generalisation. Unaamini sana kwenye hisia zako na ukishaamini hutaki mawazo mbadala. Kichwa chako ndio Serikali yako!
Kidogo mizimu imeanza kukutoka. Kumpata mchakaji/mchakatwaji haiondoi muhimu wa self control,chukulia mfano mchakataji/mchakatwaji yupo mbali kikazi au kimasomo kwa muda wa miezi au miaka kadhaa,hapo mchakatano sio kinga bali self control.Mara nyingi mnaongea vitu ambavyo sio realistic na mimi napenda kuzungumza vitu realistic, ili kumaliza hamu za kimwili lazima ufanye uchakataji kama ni mwanamke achakatwe vilivyo.. huu upuuzi wa kudanganyana kuna maombi sijui upako ni ujinga...
Ndio maana nasema kwa nyie mliokoka fungeni ndoa la sivyo kuchakatana pako pale pale...
Acha umalayaInasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Acha ukorofi, daktari lazima awe karibu na mteja wake na aoneshe upendo kwa kumfariji ili apate nafuu haraka.Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Tayari alishaliwa hawezi kusemaDuh nimesikitika sana
Lakini nahisi hii ni chai
Huo ni ubishi wa kilokole boss, zinaa imewekwa kwenye level tofauti, Umeelekezwa ukimbie zinaa sio ukemee. Huko kwenye makanisa na kwaya mimba, bikra zinatolewa kabla ya ndoa sababu ya ubishi wa aina hii. Baadae ni kutubu kwa vilio na kunena kwa lugha ila ndo tayari.Yusufu alikimbia kwa sababu aliona dalili za waziwazi. Mimi sihitaji kukimbia. Yesu anasema mpingeni shetani naye atawakimbia. Anayepaswa kukimbia ni shetani(Yak 4:7-10).
Hiyo Misemo ya wanawake achana nayoUshindwe kwa jina la Yesu