Daktari huyu alitaka kunibaka?

Daktari huyu alitaka kunibaka?

Lakini usosahau pia wewe kama unasema Yesu ni Mungu pia unaenda Jahanam
Kama bado hujajua kwamba Yesu ni Mungu, soma uzi huu:
 
Hapa Tz pale muhimbili boss wa kitengo cha vichaa jina linaanzia na Dr F, anawatafuna sana wagonjwa yaani kuna wale ambao tatizo Lao ni labda kuanguka akipanda bus kuna dawa wanameza basi anawapangia mida ya jioni wameshaondoka watu wote yeye anapigia ofisini
 
Kama bado hujajua kwamba Yesu ni Mungu, soma uzi huu:
Hebu tumia akili basi, bibilia yenu inasema; Mwanzo alikuwa Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Mungu alikuwa Neno.

Sawa hebu tutumie akili na hoja hapa.

Neno alikuwa pamoja na Mungu

Sawa sasa tunaye Yesu Pamoja na Mungu.

Kwa hiyo Yesu sasa yupo Pamoja na Mungu ambayo inaonyesha wazi hawafanani hapa kati ya hao wawili.

Sasa Yesu ametuambia kuwa Baba yake alikuwa Mungu wake.

Ninapaa kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu; na kwa Mungu wangu, na Mungu wenu. Yohana 20:17

Kwa hiyo sasa tunaye Yesu pamoja na Baba yake.

Naye Neno alikuwa Mungu.

Kwa hivyo hii ni kusema kwamba Yesu alikuwa Baba yake? Bila shaka sivyo.

Sasa kwa kusema Neno lilikuwa (A) Mungu angekuwa na maana kama Yesu alivyoitwa Mungu Mwenye Nguvu kwenye Isaya 9:6

yeye hapo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Yohana 1:2

Sasa angalia neno Pamoja na limetumika tena kwa Yesu alikuwa (Pamoja)Mungu akionyesha kwa uwazi hawa wawili (Tofauti)
 
Hapa Tz pale muhimbili boss wa kitengo cha vichaa jina linaanzia na Dr F, anawatafuna sana wagonjwa yaani kuna wale ambao tatizo Lao ni labda kuanguka akipanda bus kuna dawa wanameza basi anawapangia mida ya jioni wameshaondoka watu wote yeye anapigia ofisini
Mt 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa
 
Mkuu mbona kama ii stori imekatishwa gafla, naona kabisa kuna mwendelezo wake.
 
Mtu unakwenda kutafuta tiba na umevaa nguo kama uko beach.
Unachokitafuta utakipata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom