Alikumwagia wazungu mara ngapi ?Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Mkuu, ungekuwa wa kukemea usingetulia tuli.Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini.
Mungu akusaidie utambue kuwa mwisho wa mambo yote umekaribia. Karibu neema itafungwa na siku inakuja ya kulia na kusaga meno kwa wote wanaocheza na dhambiSasa wewe unashangaa kuzungushiwa mkono shingoni ingekuwa mimi ingawa nakucheki macho.lakini mkono mmoja ungekuwa ndani ya sketi yako nikishika mapaja yako laini
Hu mpumbavu , wenda ulienda kumtega naye akashutuka na kusema liwale na liwe, bila shaka upo fani ya afya, pumbavu sanaInasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
If one is truly intelligent, how then does he fail to understand the importance of engaging others with grace rather than with disparagement?Zero brain capacity, sexualizing every situation, Dumb, young, stupid & brainless.
Ukweli unauma, usijali utazoeaIf one is truly intelligent, how then does he fail to understand the importance of engaging others with grace rather than with disparagement?
Let your speech always be with grace, seasoned with salt' (Colossians 4:6)