MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,528
- 21,812
Matusi yako wapi hapo??Afadhali umetambua kuwa matusi ni dhambi.

Umenena vema ndugu yangu. Actually, angeongeza hatua moja tu, ni wazi ningempiga Injili. Kwa stage ile nilikuwa bado sijajiridhisha kama ana nia mbaya au ndivyo walivyofundishwa kuwashika patients wakati wa eye exam. Ndio sababu nimeuliza swali hilo. Ila kwa comments nazoziona hapa, naona ni kweli alikuwa na nia ya uzinzi tu. Mungu amhurumie na kumuokoa popote pale alipo.Mkuu Ulipaswa kumpiga Injili na kumwongoza Sala ya Toba pale pale kwenye Examination room kabla hujaondoka!
Huku ungekuja kutueleza kama bingwa wa macho alipokea Wokovu.
Unamuita tu brainless, ama kuna namna nyingine ya kumuita??Unamuitaje mtu brainless?
Dada tombana vya kutosha ili mawazo ya ngono yasikutawaleInasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Mmmh, sidhani ila inategemea na namna kila mtu anavyoutumia, kama utatumia ubongo kwa namna ambavyo haikukusudiwa inawezekana ukawa by default haunaKwani kuna mtu asiye na brain?
Kwahiyo toka uzaliwe hujawahi KUSHENYETWA!?Matendo ya giza hayana nafasi kwangu
Haha hua sitoinafasi aingie mwenyew😂ata ntaookua naeInasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"
Nikaingia katika chumba cha daktari wa macho(ophthalmologist, if not optometrist). Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Baada ya kumweleza daktari huyo kilichonipeleka pale, akaanza kuyachunguza macho yangu. Kisha akachukua penlight na kuanza kunimulika jicho moja moja. Akasogea karibu zaidi na mimi. Mkono wake wa kushoto akauzungusha nyuma ya shingo yangu na kunikumbatia huku akiendelea kumulika macho. Mimi nilitulia tuli tu kama maji mtungini. Lakini moyoni nikawa najiuliza: "hivyo ndivyo madaktari wa macho wanavyofanya eye examination?" Baadaye daktari akaiacha penlight yake akanikumbatia kwa mikono yote miwili, kisha akaniacha. Halafu akaniambia "macho yako hayana shida!"
Hebu niambieni nyinyi wazoefu wa kufanyiwa "eye exam", hivyo ndivyo madaktari wanavyopaswa kumshika mtu anayechunguzwa macho? Au huyu daktari alikuwa na lake jambo? Na angethubutu kugusa sehemu nyingine za mwili asingeisahau siku ile. Ningemkemea kwa Jina la Yesu, pepo la uzinzi limtoke. Hospitali nzima ingejua ameingia mtu asiye na mchezo na dhambi ya uzinzi.
Tujiepushe na uzinzi jamani. Wazinzi na waasherati hawataingia mbinguni. Mahali pao ni katika ziwa liwakalo moto na kiberiti.
1 Kor 6:9
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."
Duh. Ukiongea bila kutukana hainogi?Hu mpumbavu , wenda ulienda kumtega naye akashutuka na kusema liwale na liwe, bila shaka upo fani ya afya, pumbavu sana
Hiyo ilikuwa extreme customer care mkuu. Hakukuwa na dalili yoyote ya ubakaji hapo.Inasikitisha sana. Siku moja nilienda katika hospitali fulani maarufu, katika nchi inayosifika kwa mengi mazuri, ili nifanyiwe "eye examination"