La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
wewe jamaa jinga mtozeni wewe.....unaaibisha umri wako na wazazi wako jitu zima pumba.....wabongo mna kazi sana na nchi yenu.......
Myself I'm a medical student(MD) ila najutia muda wangu niliopoteza A-Level. May be advantage iliyopo ni ile confidence ambayo mtu wa PCB anakuwa nayo kwamba she/he is deemed to be a doctor so anakuwa na kaconfidence fulani. Lakini kiukweli hapa inayotumika sana ni biology na chemistry kidogo.
Msingi wa medicine ni physiology,anatomy, biochemistry na pharmacology. Kwa mtu aliyesoma kweli medicine anajua fika kwamba kila ugonjwa unaokutana nao kitu cha kwanza unatakiwa kujua pathophysiology(which is purely biology!). Hata pharmacology ambayo wengi wetu tunamistake kuiita chemistry based,iila aliyesoma pharmacology atakubaliana nami kuwa msingi wake ni pharmacodynamics na pharmacokinetic which are purely physiology(biology)!
Kwa tafsiri isiyo rasmi,physiology is how the living body functions-which is purely biology! Unaposema Cardiology,ninavyofahamu mimi ni study of heart,kwa maana na ya anatomy,physiology na biochemistry ya moyo.Kwa tafsiri isiyo rasmi maana yake ni jinsi moyo unavyofanya kazi-which is purely biology!
Radiology:hapa labda sijamwelewa mleta mada ana maana gani! Kwa sababu kama ni vifaa vinavyotumika,ni kweli watengenezaji wanatumia phyisics lakini tusisahau kuwa wanaovitengeneza sio madaktari kama yeye! Wanatengeneza ni wataalamu wa electronics and the like! Madaktari wanavitumia tu. Na ili daktari au radiologyst atumie kifaa hicho,kitu cha kwanza ni lazima awe anajua anatomy na physiology-which is purely biology! Mbona hatusemi computa zitumiwe na waliosoma electronics tu?!
Mi nadhani ktk maisha tunategemeana.So,kuwa daktari sioni kama is an extraordinary thing kihivyo. Kinachotakiwa ni kila mtu kuthamini uwepo wa watu wengi.Kwa mfano,mimi naamini maisha hayaendi bila kuwepo makuli,watu wa mikokoteni,waokota makopo barabarani and the like!

ni kweli kabisa bila physics utakosa msingi bora wa kuwa daktari mzuri, nephrology(GFR etc),cardiology(ECHOetc),etc......
uturuki si wanabebaga kila mtu ili mradi uendane na wao! Kuna tetesi kwamba hata mwinyi hukumaliza form five akaenda uturuki na kurudi daktari.
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
Mkuu mbona imetulia tu! Udaktari haswa ni BC na pia mtu wa CBG lazima atakuwa alifanya Phy mpaka 4 na mara nyingi wanakuwa walifaulu pia. Sasa mtu wa PCB akiwa amezidiwa na CBG kwenye CB si ni lazima achukuliwe yeye?
Nina ndugu yangu yuko Finland anasoma BSc Agriculture Eng! Huku kwetu aliishia Form 4 masomo ya Arts na hakufaulu vizuri!
Wenzetu walioendelea wanatoa Aptitude Test ya fani unayotaka kusoma, ukifaulu wanakuchukua, hawahangaiki na daraja ulilopata Sekondaru.
uchambuzi wako ni mzuri ila naomba nikurekebishe kidogo,chemistry sio kidogo kwenye medicine,either inalingana au kuizidi biology kidogo.
refers sylabuses ya medicine
Kwa mujibu wa Guide Book ya TCU (pdf version), sifa za kujiunga na MD course kwa:
MUHAS:
SFUCHAS:
UDOM:
CUHAS
HKMU
KCMC College
Maths? I guess kulikuwa na typing error!
Hilo la CBG limeingilia wapi tena?
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea
| Subjects | Biology and Chemistry required. Medicine MBBS BSc |
Entry requirements kwenye vyuo vya wenzetu ni kama inavyoonekana hapo chini. Kwa haraka mtaona kuwa mtu wa CBG anaweza kabisa kusoma Medicine bila ya tatizo lolote.
[TABLE="width: 808"]
[TR]
[TD]University[/TD]
[TD]Entry Requirements[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Oxford University[/TD]
[TD]A-levels: A*AA, in three A-levels taken in one academic year
Excluding Critical Thinking and General Studies. Candidates are required to have Chemistry (compulsory), plus Biology and/or Physics and/or Mathematics to full A-level.
Medicine - Entrance requirements - University of Oxford[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Manchester[/TD]
[TD]Chemistry plus one from Biology or Human Biology, Physics, Mathematics or Further Mathematics plus one further subject (not Critical Thinking or General Studies; Further Mathematics not accepted alongside Mathematics; We do not accept Applied A-levels for either the 5-year or 6-year programme).
Medicine (5 years) [MBChB] (MMS - University of Manchester)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Cambridge University[/TD]
[TD]Applicants must have AS or A Level passes in Chemistry and two of Biology/Human Biology, Physics, Mathematics.
Medicine[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University College London[/TD]
[TD][/TD]
Subjects Biology and Chemistry required.
Medicine MBBS BSc
[/TR]
[/TABLE]
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
ni kweli kabisa bila physics utakosa msingi bora wa kuwa daktari mzuri, nephrology(GFR etc),cardiology(ECHOetc),etc......
mkuu nimeshatrace some reference nikaconclude kwamba physics is almost neglible for MD,refer page 3 by moesNi ujinga tu na ufinyu wa mawazo. Cardiology kwa nchi za wenzetu anafundishwa hata mtu asiye na fani ya udaktari? Mfumo wa elimu ya kibongo umepitwa na wakati.