Kuanzia leo Polisi wajiandae kushonwa bila ganzi wakiumia, wanamnyanyasa daktari!Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
View attachment 3666170
Makebo na hydroxo maoni yenu. Mna bahati siyo kobaz😆Yule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
View attachment 3666170
Bongo wagonjwa wanaponaga natural bila kutibiwaAachiwe mara moja akatibu wagonjwa.
Kuwa polisi kunakupa kinga ya kuvaa jezi ya yanga na kuingia mtaani kupiga risasi raia majumbani mwao?Kuwa specialist hakukupi kinga ya kuvamia na kufanya fujo..
NI vyema ukaambatanisha na sheria inayomruhusu askari kuchomoa funguo ya chombo chako.Kuwa specialist hakukupi kinga ya kuvamia na kufanya fujo..
Aisee ndio maana nilijua tu, speshalisti kachoka hivo anaendesha ki vitz, angetutia aibu sana kama angekuwa kobaz wazee hela
kwa wewe unaepiga makelele mitandaoni na ID feki wala usihofu, uko salamaNi swala la muda tu Kila mtu atafikiwa na ccm na polisi wake.
Police wamuachie mara moja na kumwimba radhi, CDF awachujulie hatua wanajesgi waliichujua Sheria mkononi, Traffic waache kutumia madaraka Yao vibaya ktk kunyanganya funguo, Mahali ambapo hatua zingine zingefaa. Binadamu wengine nao Wana hitaji Muheshimiwa sio lazima watu wawe na vimu muliYule Dr ni Specialist aliekua anawahi kwenda kutimiza majukumu yake ambapo Trafic alichomoa funguo ya gari yake ndipo Specialist aka react
View attachment 3666170
Traffic ndio mvamizi, Kwa kuchukua funguo za gari ambako sio lake.Kuwa specialist hakukupi kinga ya kuvamia na kufanya fujo..
Hii ya kunyang'anya funguo ipo kipengele kipi cha GPO au sheria ya barabarani?Hoja sio uspecialist au upolisi.
Hoja hapo ni nani mwenye makosa? Hilo tuu.
Hii ya kunyang'anya funguo ipo kipengele kipi cha GPO au sheria ya barabarani?