Daktari afukuzwa kazi kwa kumfanyia upasuaji mgonjwa ‘guest’

Ndugu yangu relax, madiwani ndio mamlaka ya nidhamu kwa watumishi wote walioajiriwa katika serikali za mitaa isipokuwa walimu
Nasema hawana mamlaka hayo, sana sana walipaswa kutoa taarifa kwa mamlaka husika... nchi imekuwa ya kipuuzi sana hii.

Hizo unazoita sheria wewe ulisoma wapi?
 
Madiwani walio na Elimu ya zero wezi wa kura Nyumbu ..
Wanamvuaje na kumfukuza Government servant
 
Sasa mnamkata mshahara na board loan nao wanamkata alafu mnategemea ataishi vipi kama sio kupiga kazi korofi kama hizo.


By the way kumbe ku-deal na tezi dume uchochoroni ni bei rahisi namna hii!
Yani operation kwa 50k? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom