The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,383
- 2,586
Na hiyo siku sidhani kama iko mbali ingawa vipofu wamejiaminisha tofauti, wanaamini wanaweza kuzuia tsunami kwa mikono.Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Na hiyo siku sidhani kama iko mbali ingawa vipofu wamejiaminisha tofauti, wanaamini wanaweza kuzuia tsunami kwa mikono.
Kwa nini unasema hivyo?Albashir hayuko pekeyake, ni swala la muda tu, Makamanda wakisha idhibiti hali atakwenda kupumzika uhamishoni.Wengine wata tolewa kafala ila Albashir ataendelea kupeta.
Tena hapo kwa spika kutupwa gerezani ndiyo patamu haswaaNilikua nasoma aljazeera kwamba speaker wa Bunge,mwenyekiti na katibu mkuu wa chama chake,aliyekua naibu raisi,mkuu wa shirika la upelelezi,mkuu wa polisi wote wamewekwa ndani. Wadogo zake wawili ndani, account za fedha bank zote zimekua frozen pia mzee elbashir wako mbioni kumfungulia kesi ya money laundering. Basi nikakumbuka ya nyumbani kwetu Tanzania nikajiambia moyoni ipo siku yaja,,,.
Na hiyo siku sidhani kama iko mbali ingawa vipofu wamejiaminisha tofauti, wanaamini wanaweza kuzuia tsunami kwa mikono.
Kipindi pekee chenye msukumo mkubwa wa hayo kutokea ni nyakati hizi. Mambo hayo hutokea wakati ule utesaji, dhuluma, ubaguzi na upendeleo, ubabe na uvunjifu wa sheria na katiba, sheria mbaya zinapotungwa kwa nia ya kuwaumiza wanaodhaniwa ni wapinzani, vyote vinapotamalaki.Na hiyo siku sidhani kama iko mbali ingawa vipofu wamejiaminisha tofauti, wanaamini wanaweza kuzuia tsunami kwa mikono.
Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa.
Nimemuona aliyekuwa akiabudiwa kama Mungu hana tena la kufanya zaidi tu ya kuwa mpole kama hua.
Wapambe wake wote hawapo tena. Wapiga vigelele na mapambio wote wametimua mbio. Al-bashir yuko peke yake hana tena Yale madaraka . Leo anaweza kuwa mfungwa kama wafungwa wengine.
Tunaposherekea sikukuu hii ya pasaka naomba tukio hili la Al-bashir liwe funzo kwetu. Tuishi maisha ya kutenda haki. Madaraka hutoweka kama kivuli ndipo nyakati za aibu na mateso hutamalaki.