kikokoti
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 678
- 275
- Thread starter
- #61
Muda mlefuNaomba nimuongezee na swali, Je ana malengo gani? ya Muda mfupi au mrefu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda mlefuNaomba nimuongezee na swali, Je ana malengo gani? ya Muda mfupi au mrefu?
Ahsante kwa ushauriSali sana .mola akupe uwezo kwani yote ni kuamua. Yalinifika mwezi mzima siwezi kula .lakini ni siku moja tu niliamua na sikudhurika tena kwa mapenzi .
Sent using Jamii Forums mobile app
We Bado unapenda jombaaa ,,?!Hii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ha nimekipenda kizungu chako.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hamna mkuu