Dakika 45 simu ya mpenzi wangu inatumika

Dakika 45 simu ya mpenzi wangu inatumika

Hii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ila hapo huoni kwamba mpenzio kaisha ingizwa box na MWINGINE,tuliza akil maana yeye anakula bata we wawa a, jipange kuanza upya but chunguza before ujaamua
 
Be happy kaitwa kwa interview, anapewa maelekezo
 
Hii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha......hiyo ni infatuation mkuu..sio love....tulia wiki mbili hivi utajikuta upo kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom