kikokoti
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 678
- 275
- Thread starter
- #21
Chakula hakipiti nawaza ule utamu anaonipa atakuwa anampa na mtu mwengineAhahahah nahisi chakula chako itakuwa dona dagaaz, huwezi kosa hamu ya kula mezani kukiwa na kitu kama italian pizza.
Sent using Jamii Forums mobile app