Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,102
- 2,153
Njia nzuri ya kujiokoa ni kupiga chini huyo mwenza wako.
Heee! Pole sana unakondeshwaje na mtu ambaye mmekutana ukubwani tu kama humuelewi muite umuulize ukiona haifai achana nayeHii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nampenda mkuuHeee! Pole sana unakondeshwaje na mtu ambaye mmekutana ukubwani tu kama humuelewi muite umuulize ukiona haifai achana naye
Kwani mtu akila chako ndiyo anakutaka pole kwa hilooo
Sawa mkuuWe ni me au ke? Acha kuumia kichwa papuchi ni yake amerithi kutoka kwa mzazi wake.huna chako hapo,ana uhuru wa kufanya nayo chochote hata ukimuoa. Acha ajilinde mwenyewe kwa akili yake. Xxxy za kwako ndio Mali yako,elekezea wivu wako huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kizungu cjuiHakupendi huyo. Anaongea na anayempenda. Wanawake ni watu wa hisia. If a woman feels you she goes out of her way to give attention to you. Ukiona unapiga simu hapokei wala harudishi, message hazijibiwi ujue hajakufeel huyo. Janja ni kum-ignore tu. Ukitaka kuwapatia wanawake hakikisha wanajua wewe ni playa (hata kama sio kweli). Play mind games. Mara umeweka whatsapp status "girl yo so funny" au "you are a star beautiful" au au weka ka-line ka uwimbo ambao wanawake wanapenda, itamfanya afikiri kuna demu mwingine you are interested in. Kuwa tu na time zako fanya yako wala usimtafute. Utaona watakavokuwa wanakutafuta wao. Women dont like desperate needy mofos. Mimi I call a girl twice, asiporudisha imetoka. Kama ipo ipo tu. Hakuna haja kupoteza muda na mwanamke asiyekupenda wakati wamejaa. Hawa password yao rahisi sana. Kama nissan nyeupe tu.
Ukikua utaweza kumuacha.