Daima utanivulia nguo

Daima utanivulia nguo

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Daima utanivulia nguo na kubaki uchi,utakaa juu yangu na kuachanisha mapajayako ukinionesha kila kitu chako tukiwa pekee yetu.Hatutothubutu kiniacha,kwani na kutunzia heshima na raha zako.Ndio maana sina wasiwasi na wewe.Vp leo utakuja au bado hujabanwa.Ni mimi rafiki nikupendae sana CHOO.
 
mkuu nilipoanza kusoma nikafikiri ni kiapo cha dini fulani wakati wa ndoa, nikasema kumbe watu wanaweka nadhili kali....baada ya kumaliza....haha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....lol😛eace:
 
Ubaya huo Mkuu...:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Dah,at least nimepunguza stress kichwani kidogo. Thx.
 
Daima utanivulia nguo na kubaki uchi,utakaa juu yangu na kuachanisha mapajayako ukinionesha kila kitu chako tukiwa pekee yetu.Hatutothubutu kiniacha,kwani na kutunzia heshima na raha zako.Ndio maana sina wasiwasi na wewe.Vp leo utakuja au bado hujabanwa.Ni mimi rafiki nikupendae sana CHOO.

Ninaanza kwenda porini. Naachana na choo
 
Back
Top Bottom