Dah; wiki hii iishe tu kwa kweli.

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
Yani kuanzia j3 ilikua mbaya kwangu. Mara nikose viquiz vya marks tano tano, mara niumwe mara lecturer anikwaze, mbaya zaidi ni nilipopoteza wallet yangu ikiwa na vitambulisho muhimu (card ya bank na kitambulisho cha chuo) na vipesa kidogo. Kwakwel it z terrible. Hope kuanzia j3 itakua njema.
 
Yes, this is Chit-Chat!...No doubt!:biggrin1:
By z way, pole kwa kupoteza hizo docs...
 
Yani kuanzia j3 ilikua mbaya kwangu. Mara nikose viquiz vya marks tano tano, mara niumwe mara lecturer anikwaze, mbaya zaidi ni nilipopoteza wallet yangu ikiwa na vitambulisho muhimu (card ya bank na kitambulisho cha chuo) na vipesa kidogo. Kwakwel it z terrible. Hope kuanzia j3 itakua njema.

Hey ... Those things hufanya sisi jamii tupate a beta you... Utasoma zaidi, utakua makini zaidi, utapigika kidogo hivyo kukufanya uwe stronger... etc.... And yes look forward to another Mon... WARNING!!! Mondays are always blue...lol
 
blue monday eeeh? I dont nid tht again! Lol!
 
Pole ae
I hope wiki inayokuja itakuwa
tofauti na utapata ulivyopoteza.
mimi binafsi nashukuru wiki
iliyopita imeisha..
 
Hahahha ishu gani wewe???Embu njoo basi na wewe...nimechoka kuchakachua thread ya watu!

hahahaah lahh
siwezi kmwaga mchele kwenye kuku wengi..
ile ishu ya migombani umeisahau hahahahah lol
khaaa itabidi nikutafute ..mmmhhh
 
hahahaah lahh
siwezi kmwaga mchele kwenye kuku wengi..
ile ishu ya migombani umeisahau hahahahah lol
khaaa itabidi nikutafute ..mmmhhh
Sasa muda wote nasisitiza unitafute naona unaleta pozi....fanya hivyo basi nikupe umbea!!!Alafu wapi desh desh¿¿
 
Dah pole sn,bt uchof hilo ni jarb 2,try 2 move on cz utavpata 2 hivyo vi2,l hop next wik itakuwa poa.mimwenyewe imeisha vbaya kwangu bt ndio hivyo cwez kubadili bt thanx inaisha.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom