Dah sijachangia mada hata 1

yapata mida ya saa 4 usiku tumempoteza memba mmoja kwa jina la philanderer..
namuombea maisha mapya yawe mazuri kwake na pia asiingiwe na roho ya kufungua id nyingine..
 
Wapendwa napenda sn kuungana nanyi wana great thinker kuchangia mawazo pamoja nanyi. NAOMBENI MNIPOKEE kwanza ndo niweze kutoa michango yangu.

karibu sana halafu cheki hapa www.jamiiforums.com/rules.php
 
mmmh! matusi ya nn tena utawezaje kumuita mwenzio chizi kaka ww sio jamii ya hao watu?!karibu mgeni mwaya!
 
Wapendwa napenda sn kuungana nanyi wana great thinker kuchangia mawazo pamoja nanyi. NAOMBENI MNIPOKEE kwanza ndo niweze kutoa michango yangu.

Duh,umetokea wapi? Nahisi kama vile mimi nawe tuna ujamaa fulani,au ni pacha mwenzangu?
 
Back
Top Bottom