Dah sijachangia mada hata 1

Dah sijachangia mada hata 1

Big man

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
128
Reaction score
14
Wapendwa napenda sn kuungana nanyi wana great thinker kuchangia mawazo pamoja nanyi. NAOMBENI MNIPOKEE kwanza ndo niweze kutoa michango yangu.
 
We chizi nini, sasa hapo unataka tuchangie nini? Hewa?
 
We chizi nini, sasa hapo unataka tuchangie nini? Hewa?

Mpendwa kama hujaelewa ni bora uombe kueleweshwa kuliko kumuita mwenzako chizi.....sio mpango wala nini. Big man mwaya karibu. Huku JF utakutana na wengi huyu Philanderer ni mmojawao tu kwa kuanzia.
 
Karibu jamvini. Hii ndio JF. Kuna raha na karaha, kuwa mvumilivu ili ule mbivu.
 
Back
Top Bottom