Dah! No true love

Dah! yani ni hatari sana mkuu,tufanye tu scout mpya no way
 
M Mzee kupenda wanawake wa mjini ni kama kulima shamba la miwa pembeni ya shule 😂😂😂!!!

Usimuamini mwanamke wa mjini kamwe 😅😅😅
 
Usishike simu ya mpenzi wako.

Wife alishika ya kwangu ndani kukawa na bifu la wiki mbili nzima. Sema nikiwa kama kidume sikosi cha kujitetea na mambo yameisha. Nikamuonya sio vizuri tushikiane simu.

Simu simu weeeee
Unahisi yameisha mkuu, anakulia timming nawewe atakuliza soon.😂😂😂
 
Pole Sana kiongozi, Inaumiza Sana ki ukweli.

Kipind hiki Cha magonjwa ndo hatar zaidi.
Kwa upande wangu ningepiga chini maana sio mke bado.
Jaribu kumtangazia kumuacha uone anasemaje ukiona anaonba msamaha na kuahidi hawez rudia basi huna budi kumsamehe ila ukiona as if hajari basi achana nae atakutesa Sana.
Hawa watu wa masomoni bwana hawaamiki kabisa.
 
Huku kujiamini wanawake nahisi tafsiri yake hamuijui kabisa yani. Ina maana mwanaume akae kimya anapoona unatongozwa na mafisi au kuitwa chocho zao. Yeye akiona akaushe tu ili kusudi umuone anajiamini?

Kumkalia kimya malaya ili tu akuone unajiamini ni uzwazwa. Ukileta flirting around lazma uchanwe na kupigwa chini. Wanawake wengi wanatumia hili neno "kutojiamini" kama silaha ya kuwanyamazisha wanaume wenye wasiwasi na nyendo zao.
 

Kama unajiamini huwezi ku-date Mwanamke ambaye anaweza kukufanyia hayo uliyayataja, ukijiamini utajithamini na kutafuta mtu ambaye pia atakuthamini I mean, aina ya demu unaye date inatoa pia tafsiri ya wewe jinsi ulivyo na mipaka uliyojiwekea kimaisha, ...
 
Binadamu anabadilika mda wowote mkuu. Thats why watu wanaoa na kuachana mkuu.
Unaemuona bora sasa kesho anaweza kukustaajabisha sana.
 
Binadamu anabadilika mda wowote mkuu. Thats why watu wanaoa na kuachana mkuu.
Unaemuona bora sasa kesho anaweza kukustaajabisha sana.

Kuna tofauti kubwa kwa maoni yangu kati ya kuoana halafu mkaachana na kuwa na mtu asiyekuheshimu, binafsi sina tatizo lolote na kuachana kama mmepevuka kitofauti jinsi miaka inavyozidi kwenda, mnaweza mkawa na mitazamo ya kitofauti ambayo mwanzoni haikuwepo hilo ni kawaida na mnaweza mkaachana lkn bado mkawa mnaheshimiana, ...
 
M
Mzee kupenda wanawake wa mjini ni kama kulima shamba la miwa pembeni ya shule
!!!

Usimuamini mwanamke wa mjini kamwe
Inabidi nizame bush tu japo Wadau walisema ni wale wale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…