Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha
Ukiwa ndani ya Kristu wewe na familia yako mambo yote ni bomba hakuna zengwe hapo..........ni dhambi tu inayotufanya kuwa na karaha zisizo na kikomo.......................................Accept Christ as your LORD and Saviour, and get into a good Bible based Church and you will have the Promise of the PEACE OF GOD..........................ninajua wenye imani mbadala ...............,......may feel offended by the truth......................THE only GOSPEL TRUTH..
Safi sana,on top of that
mara nyingi ndoa inakua ngumu pale
ambapo wanandoa wanakua wana jilinganisha na wanandoa nyingine,...
Kwamba flani katoka leo,na sisi tutoke kumbe mwenzako anapanga bajeti nyingine kabisa!