Dah ndoa ngumu

Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha
Ndoa kuwa ngumu si ndio inakuwa imara, maana hata mahasidi hawaweza kuifunja kwa jinsi ilivyo ngumu... Au ulikuwa una maanisha nini, unataka kuivunja ndio imekushinda kwa ugumu wake ama...!?

Nasikia nyama za ulimi zinasaidia sana kulainisha yalio magumu...!
 
Ha ha ha NN brother, you mean my signature?

Naah…I mean the statement that "NDOA kama NDOA sio ngumu ila sisi binadamu kwa matendo na tabia zetu ndio tunaifanya NDOA kuonekana ni ngumu". As far as I know there is no ndoa without people. So how can there be ndoa kama ndoa by itself and then when you add the people dimension to it that's when you get all the complexities, confusions, issues, and whatnot?

That's what I wanted you to enunciate and delineate the difference(s). Of course, if you only don't mind otherwise you can pass.

Warmest regards.
 
Ohoo!!! Got you brother loud and clear thanks for the elaboration
 
Kama ngumu unaendelea kuing'ang'ania ya nini?Achana nayo!!!!
 
Back
Top Bottom