Dah ndoa ngumu

Daty

Senior Member
Jul 1, 2011
126
13
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha
 
Anzisha wewe km hicho kitu kimepungua, mwenzio nililiona hilo nikakaza moyo nikalianzisha sasa hivi ni raha tupu utadhani ndo tunaanza
 
ni kwako tu !!!!

wengine tunakula mema ya nchi ndani ya ndoa........
jitume
fanya kazi
kuwa mbunifu
mpende
mtunze
mjali
acha uvivu
nk

haya ukiyazngatia utafurahia ndoa lakini kama wewe kila kukicha kiguu na njia hutulii,hujiytumi, hufanyi kazi nk/lazima utaona ndoa ni ngumu na utaichukia

nngoja nikukumbushe kitu kimoja..mkisimama kanisan/msikitini/then padre au mchungaji akasema ninyi ni mwili mmoja...hakika nakwambia mwili mmoja huwa hauji siku hiyo mkiwa hapo....kuufikia mwili mmoja ni process ndefu sana kabla na baada ya ndoa...ndio maana utaona watu wanaishi miaka ishirini kama wanandoa then wanaachana.maana yake ni kwamba hawa watu hajaufukia mwili mmoja...ila unafiki ulitawala kwa miaka hiyo ishirini..upo?
 
Juzi kulikuwa na kikao, jamaa wana mpango wa kuliondoa neno "Ndoa" kwenye dikshineri. stay tuned
 
pole ndugu yangu, ila jaribu kufuata baadhi ya ushauri hapo juu. usikate tamaa, jitahidi kuwa mwanzilishi wa kile upendacho kufanyiwa, pia jambo lingine kuu UPENDO UNA VIMELEA VYA KUJIPENDEZA, ILI UTIMIZE UPENDO KTK NDOA LAZIMA UWE NA TABIA YA KUJIPENDEKEZA KWA MUMEO, MFANYIE MAZUR ZAID YA YALE MATEGEMEO YAKE KWAKO. HAKUNA UPENDO BILA KUJIPENDEZA (HAPA NTAELEWEKA ZAID KAMA UNAJUA MAANA YA UPENDO NA KUJIPENDEKEZA KWA UPENDO) NA KUJIPENDEKEZA HATUJAANZA BINADAMU ,ALIANZISHA MUNGU WETU, ALIJIPENDEKEZA KWETU KWA KUTUWEKEA DUNIANI VITU VYOTE VIZURI, LAKIN KWA SHARTI MOJA TU YA SISI KUJIPENDEZA KWAKE KWA KUFUATA AMRI ZAKE 10. HATA NDOA INA AMRI ZAKE WEWE ZITEKELEZE HIZO {JIPENDEKEZE} UTAONA NDOA YAKO INAJAA UTAJIRI WA UPENDO,FURAHA NA AMANI.
 
Kubaliana na kila jambo lina mapito yake pia outting si mtu yeyote mke/mme anaeza andaa kwanini wanawake mmwe tegemezi kwa kila jambo?
 
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha

Ndoa ni sawa na 'Sweet and Sour soup'.. Si unajua hii soup watu wengi wanaipenda kwani ina ladha yake ya kipekee..

Kikubwa kama chumvi kidogo unaongeza mwenyewe kiduchu..yaani una- fine tune hadi pale ladha ya hii Sweet n' Sour soup itakapo pendezesha mdomo wako.
 
Ukiwa ndani ya Kristu wewe na familia yako mambo yote ni bomba hakuna zengwe hapo..........ni dhambi tu inayotufanya kuwa na karaha zisizo na kikomo.......................................Accept Christ as your LORD and Saviour, and get into a good Bible based Church and you will have the Promise of the PEACE OF GOD..........................ninajua wenye imani mbadala ...............,......may feel offended by the truth......................THE only GOSPEL TRUTH..
 
Safi sana,on top of that
mara nyingi ndoa inakua ngumu pale
ambapo wanandoa wanakua wana jilinganisha na wanandoa nyingine,...

Kwamba flani katoka leo,na sisi tutoke kumbe mwenzako anapanga bajeti nyingine kabisa!
 
Vumilianeni kwa shida na raha, kuna wakati mambo huja na kupita. Kwa mfano vile umesema mambo yalikuwa mazuri na sasa yamebadlika. Fanya yale mambo ya msingi katika ndoa fuata ushauri unaopewa hapa na utafurahia ndoa yako tena kama ilivyokuwa hapo awali.
 
Safi sana,on top of that
mara nyingi ndoa inakua ngumu pale
ambapo wanandoa wanakua wana jilinganisha na wanandoa nyingine,...

Kwamba flani katoka leo,na sisi tutoke kumbe mwenzako anapanga bajeti nyingine kabisa!

ushindi wa kiroho unahakikisha ushindi wa kimwili...............
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom