kama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zao[emoji1][emoji1], anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.[emoji16][emoji16][emoji16]