Dah so sad aiseeeeDah nimesikitika sana kukutana na taarifa kwenye ukurasa wa Netnaija kuwa haitakuwa inajihusisha na Kuweka movie zidownlodiwe bila wao kutaja sababu.
Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo ni rahisi kutumika na pia unapata movie kwa mb Chache
Sababu kubwa itakuwa ni nn imepelekea wao kusimama?
View attachment 2751655
Telegram naona kama ipo slow kwenye kudownloadkama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zao😄😄, anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.😁😁😁
Telegram naona kama ipo slow kwenye kudownload
Update hiyo yako mbona telegram kudownload movie ni fasta sanaTelegram naona kama ipo slow kwenye kudownload
Hawa Jamaa wamefungiwaKuna wale jamaa wa Hesgoal wamepigwa mvua ya miaka 11.
Hapa quality ni mbovu sanaO2tvseries
Pazuri sana huko ila jamaa mwezi uliopita walipata changamoto sana ilikuwa ukidownload movie zinakataa nazani juzi ndo wamefix hilo tatizoMimi kuna
- Nollyverse na hata jana nime download ep 5 ya season 2 ya The wheel of time
-Telegram TV SHOWS 🌋
Ndiomaana walipotea ghafla tu, sasahivi kuna wale YACINE Tv naona nao wako moto sana, yani hata mashindano ya CAFCL&CAFCC wanarusha.Kuna wale jamaa wa Hesgoal wamepigwa mvua ya miaka 11.
inakataaa mbona mkuunakupa hii FouMovies – Foumovies Latest Old, New Movies , Bollywood Movies 720p, 1080p Bollywood, 720p Hollywood, 1080p Hollywood
unachagua quality
sema nayo kama netnaija, huwezi pata kila movie, inafungwa kila mara wana hamisha hamisha domain
ndo ivo inasumbuaga, jaribu tena baadaeinakataaa mbona mkuuView attachment 2776677