Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,118
- 1,395
Dah nimesikitika sana kukutana na taarifa kwenye ukurasa wa Netnaija kuwa haitakuwa inajihusisha na Kuweka movie zidownlodiwe bila wao kutaja sababu.
Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo ni rahisi kutumika na pia unapata movie kwa mb Chache
Sababu kubwa itakuwa ni nn imepelekea wao kusimama?
Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo ni rahisi kutumika na pia unapata movie kwa mb Chache
Sababu kubwa itakuwa ni nn imepelekea wao kusimama?