Dah mwisho wa Netnaija

Dah mwisho wa Netnaija

Dah nimesikitika sana kukutana na Taarifa kwenye ukurasa Wa Netnaija kuwa haitakuwa inajihusisha na Kuweka movie zidownlodiwe bila wao kutaja sababu

Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo ni rahisi kutumika na pia unapata movie kwa mb Chache

Sababu kubwa itakuwa ni nn imepelekea wao kusimama ?View attachment 2751655
Tumia Mkvcinemas, MB kiduchu!
 
Nmeumia jamani daaah
Dah nimesikitika sana kukutana na Taarifa kwenye ukurasa Wa Netnaija kuwa haitakuwa inajihusisha na Kuweka movie zidownlodiwe bila wao kutaja sababu

Dah Inauma sana maana imekuwa website ambayo ni rahisi kutumika na pia unapata movie kwa mb Chache

Sababu kubwa itakuwa ni nn imepelekea wao kusimama ?View attachment 2751655
 
Kwa sisi tusiojali quality, netnaija ilikua chaguo la kwanza
kama hujali quality ingia fzstudios, wana movies na series pia, nafkili zinakua katika 480p na 720p hawana kabisa 1080.
Ila mimi chimbo langu la movie ni Telegram, na Torrents.
Yaani telegram kuna majamaa kwenye channel zao wanaweka hadi matangazo ya movie hii itatoka next month, tafkiri movie ni zao😄😄, anyway sisi tusio weza kulipia Netflix subscriptions ndo poneo letu.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba, kila movie mpya ikitoka au mwendelezo wa series, notification zinaingia.😁😁😁
 
Back
Top Bottom