Dah... kwa subtitle hizi, sijui nisemeje!...

Dah... kwa subtitle hizi, sijui nisemeje!...

Kuna makala moja nimesoma kwenye gazeti la mwanachi kuhusu hiki kiingeleza kibovu cha hawa wasanii wetu, kwa kweli inasikitisha hasa ukichukulia hizi movie zinaenda mpaka nje ya nchi yetu, tunaoenekana watanzania wote ni vituko na hatujui tunachofanya.
 
Kuna mkuu mmoja alisema DStv inawapendelea Wakenya.Tujue,hii nayo ni sababu ya kufichwa na majirani miongoni mwa nyingi.
 
Kinachokushangaza ni kipi?

Maana ya hicho unachokiona ni kwamba hakuna ufanisi na wala chombo kinachosimamia ubora wa hizo kazi...
 
Kinachokushangaza ni kipi?

Maana ya hicho unachokiona ni kwamba hakuna ufanisi na wala chombo kinachosimamia ubora wa hizo kazi...

Elewa pia kuwa hakuna sheria inayomzuia mtu asijiandikie subtitle zake...
 
Elewa pia kuwa hakuna sheria inayomzuia mtu asijiandikie subtitle zake...

Kwa mantiki hiyo hakuna chombo kinachofanya ukaguzi wa ubora wa kazi za wasanii na sanaa?

Maana nchi zilizoendelea wana mfumo wa ku-categorize filamu kulingana na ubora wa kazi..
 
Kwa mantiki hiyo hakuna chombo kinachofanya ukaguzi wa ubora wa kazi za wasanii na sanaa?

Maana nchi zilizoendelea wana mfumo wa ku-categorize filamu kulingana na ubora wa kazi..

BISHOPHilikua Kuna wakati nilijitolea bure kuwasaidia wasanii fulani kuwaandalia subtitles zikizo grammatically correct wakanitolea nje. Labda na yenyewe ni sehemu ya sanaa zai!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mantiki hiyo hakuna chombo kinachofanya ukaguzi wa ubora wa kazi za wasanii na sanaa?

Maana nchi zilizoendelea wana mfumo wa ku-categorize filamu kulingana na ubora wa kazi..

Tatizo lililopo hapa ni sheria yenyewe ya filamu (Na 4 ya 1976) imeshapitwa na wakati. Sheria imesainiwa na Rais Nyerere na hadi sasa inatumika pasopi kuboreshwa. Pia hatuna sera ya filamu (ambayo ndiyo muongozo), ndo maana tunapigania uwepo wa sera na mabadiliko ya sheria yatakayokwenda na wakati wa sasa...
 
BISHOPHilikua Kuna wakati nilijitolea bure kuwasaidia wasanii fulani kuwaandalia subtitles zikizo grammatically correct wakanitolea nje. Labda na yenyewe ni sehemu ya sanaa zai!

Kuna ubinafsi mkubwa sana kwenye tasnia hii na watu wanatumia loophole ya kutokuwepo sera na sheria, ila naamini sera ya filamu ikishapitishwa (kwani ipo kwenye process) na kisha tukapata sheria, wababaishaji watajichuja wenyewe na kubaki wenye weledi na ujuzi...
 
Unajua "Waswahili hujuana kwa vilembe" Hivyo basi kwa broken yetu tumewaelewa. Ila ukimpa muingereza huenda asikuelewe! Kweli si kweli
 
Mkuu, naona kichwa chako unakitumia kufugia nywele tu, sioni hata sababu ya kukujibu...

Sasa ndugu yangu unaposema wewe ni mmoja wa watu wenye dhamana ambao wangeweza zuia hii kitu, ila na wewe unasikitika, maana yake nini? Nashukuru kwa "tusi" lako, ila jitafakari na wewe!
 
Tatizo lililopo hapa ni sheria yenyewe ya filamu (Na 4 ya 1976) imeshapitwa na wakati. Sheria imesainiwa na Rais Nyerere na hadi sasa inatumika pasopi kuboreshwa. Pia hatuna sera ya filamu (ambayo ndiyo muongozo), ndo maana tunapigania uwepo wa sera na mabadiliko ya sheria yatakayokwenda na wakati wa sasa...
kwani sheria ya nyerere ndiyo inasema muweke subtitle zisizoeleweka? kuna uhusiano gani katika kuandika kiinglish broken na sheria ya filamu namba 4 ya mwaka 1976? au na wew kichwa chako unakitumia kwa kufugia nywele tu?!!

CC: barafuyamoto
 
Last edited by a moderator:
Sasa ndugu yangu unaposema wewe ni mmoja wa watu wenye dhamana ambao wangeweza zuia hii kitu, ila na wewe unasikitika, maana yake nini? Nashukuru kwa "tusi" lako, ila jitafakari na wewe!

Wapi niliposema kuwa nina dhamana ya kuzuia? Nimesema nina dhamana ya kusimamia na ninatumika kama daraja kati ya wadau na serikali na si kuzuia kwa kuwa sheria hainiruhusu kuzuia...
 
Tatizo ni bajeti ndogo wanazoweka kwenye filamu zao kwahiyo hata wataaluma wanaowaajiri ni vihiyo

Ni kweli ingawa pia Sekta imetawaliwa na ubinafsi, mtu mmoja anataka afanye kila kitu hata kama hana uwezo huo. Utashangaa wanaoongoza kwa madudu haya ni wale wenye uwezo (wasanii wakubwa). Hii haina tofauti na sherehe za harusi ambapo bajeti kubwa hupelekwa kwenye vinywaji, mapambo, chakula na mambo mengine ya siku moja tu lakini wanasahau picha na video, vitu ambavyo vitabakia kwenye kumbukumbu kwa siku zote...
 
Malimwengu...hii inatokana na kujifanya much know, na tabia ya mtu mmoja huyohuyo Kuwait: mtuzi, director, actor/ actress, editor, etc safari bado ndefu

Hiyo ni kweli kabisa.. Mimi huwa nashangaa sana. Mtu mmoja amechukua nafasi kama kumi hvi
 
Back
Top Bottom