Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,726
- Thread starter
- #41
kwani sheria ya nyerere ndiyo inasema muweke subtitle zisizoeleweka? kuna uhusiano gani katika kuandika kiinglish broken na sheria ya filamu namba 4 ya mwaka 1976? au na wew kichwa chako unakitumia kwa kufugia nywele tu?!!
CC: barafuyamoto
Mbona unakurupuka, hebu soma maandiko kabla hujachangia, vinginevyo unajidhalilisha hata kwa waliokuona una hekima. Nimesema hakuna sheria inayomzuia mtu asijiandikie subtitle zake, na hatuna sera ya filamu ambayo ingetumika kama muongozo kwa wanaofanya kazi za filamu, hii sheria iliyopo imepitwa na wakati na sasa serikali inaangalia namna ya kuiboresha kwa kuwa haiweki muongozo wa nini kifanyike kwenye sekta ya filamu zaidi ya ukaguzi na upangaji wa madaraja ya filamu tu. Tafakari kwanza kabla hujakurupuka kutaka kubishana...