Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,726
tehe tehe tehe! kwa hiyo hicho kiinglish walikitoa ikulu?Wenzio wamefika ikulu
Wenzio wamefika ikulu
Malimwengu...hii inatokana na kujifanya much know, na tabia ya mtu mmoja huyohuyo Kuwait: mtuzi, director, actor/ actress, editor, etc safari bado ndefu
Nadhani ifike mahali tuendelee na kiswahili tu, huko hatukuwezi ila kuna haja ya kuwaeleza waache ubahili wakodishe professionals wawafanyie hio kazi, BAKITA wanafanya hio kazi japo wako ghali kidogo