pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,233
Ni kweli usemavyo, lakini kumbuka kuwa hakuna sheria ya kumbana mtu kwenye suala la subtitle, ila tunapigania sheria ziundwe kusimamia misingi ya taaluma, vinginevyo tutaendelea kupata aibu...
Hebu Acha kupotosha watu bwana, yaani atakae ikagua hyo movie na akaona hizo subtle afu akairuhusu iende sokoni hivyo hivyo si atakuwa mbufi tu Huyo??
Yaani unataka kusema mnahitaj kutungiwa sheria nyingine ili muweze kuwa mnakagua na subtitles kwan sasa hiv mnavyokagua mnakagua nini? Si movie nzima? Matumiz ya lugha na subtitles zipo hapo.
Halafu nikupe ushaur mdogo personally: ukijitokeza waz kama hivyo Bishop Hiluka mfanyakaz wa Jamuhuri ya Muungano wa Tz. Jaribu kuwa as humble as possible siyo unapanik panik hovyo na kutoa majibu yasiyoeleweka
