Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

True, being in love signs, & are uncontrollable, meaning love is leading human, sometimes vyote hivyo anafanya unexpectedly, unintentionally, free hearted, yaani basi tu yote MAPENZI YAMECHUKUA MKONDO....
 
Eeeehhh Kaka mkeo akisikia, sijui utakuwa ni moto wa kifuu! Badilisha kauli kabla hujazua varangati.



Jamani Tausi hujasoma post zilofuata... Fidel ni single hajaoa, na Housegal ni wakakake alooa tayari.... Hivo anaweza kabisa mpenda na kumuweka ndani.....
 
kwa nini unanipigisha mapigo ya moyo kiasi hiki yaani nimetoka kidogo tu umebadilika hivi mpenzi wangu?? halafu tabia gani hiyo kupenda mashem zako......"kilio"
Mapenzi na shem wangu hayahusiani na kitanda wala uzimaji wa taa......... ushawahi kuwa na mashaka na AshaDii?
 
Eeeehhh Kaka mkeo akisikia, sijui utakuwa ni moto wa kifuu! Badilisha kauli kabla hujazua varangati.

Bahati nzuri Tausi mi bado sijaoa jana nilienda kufinya pilau kwa bro nikakuta house girl mpya nikamtamani. Kumbuka mimi sijawahi kupenda kamwe huwa natamani siku zote
 
Cmon shem....... nilipona? kwamba nilikufa na kuna mtu anatumia ID yangu au? Sikufa bana ila cha moto nlikiona. Nikajikuta badala ya kumuuguza mai darling wife wangu, yeye ndo akawa ananiuguza!! Kibega kiligeukia upande wa pili kulaaaleki...



Shem sababu nimekuona najua hauna kilema, but kuna parts ambazo siruhusiwi kuziona na ndo nauliza.... lol
 
Habari yako binafsi hii avatar iondoe mapema inaudhi kha??!! Rudisha ile ya zamani aisee
Bora umesema wewe mimi nimemwambia akang'oe hayo meno, meno utafikiri makaa ya mawe ya mgodi wa Kiwira...lol
 
Shem sababu nimekuona najua hauna kilema, but kuna parts ambazo siruhusiwi kuziona na ndo nauliza.... lol
Haaahhhhhahaaaaaaaaa kulaaaleki shem ndo nini kunichekesha mbele ya mkoloni mida hii? Hilo swali muulize soulmate wangu tafazali
 
pole sana, sasa uko nae au?
 
Ezan I LOVE this post!! Bravo..... Mwenyezi Mungu akujalie uendelee hivo hivo na hayo Mapenzi yawe kweli reciprocated.
Usipime dada AshaDii, huwa mara nyingi najiona kama nina bahati ya kipekee sana kumpata huyu mama mtoto wangu, mwanzoni nilihisi nitamzoea lakini kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nazidi kuoza, sijui kwa upande wake lakini nahisi nayeye ananipenda kwasababu najua anajua ninampenda sana na kwa kunionea huruma hajawahi kuitumia vibaya hii hali yangu kuninyanyasa kimapenzi, Mungu atusaidie kwasababu baadhi ya ndugu zangu wameanza kusema kaniwekea dawa ili nimpende sana, na kama ni kweli basi hiyo dawa nayo nimeipenda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…