Afu shem kuna kitu mingine bana....... siku aliponipigia simu kua kaugua ghafla na kakimbizwa hospitali, nikajikuta nami napelekwa hospitali!! Khaa kupenda kubaya manake bajaji ilikimbizwa eti nawahi hospital utafikiri mie ndo daktari........ mtaro haukuwa na huruma na mimi, nikajikuta niko mtaroni kudadadeki!!Hopefully kakako sio mtu wa mabinti....lol...
Kuna vimwana vipya tokea Mbulu lakini hamna uzao wako. Labda uviwezeshe vinone kiaina.
Hahahaha Zero pub tumekamata wote, hupati kitu, we muulize ODM!
Hahahaha... hommie bana, yaani aulizie ulimi mdomoni siyo?Hahahaha Zero pub tumekamata wote, hupati kitu, we muulize ODM!
Now this is worthwhile news .... I already like kakako....
Khaaaa!!! Mpwa bora jamaa hata hatukuonana maana ningezidiwa baada ya kuonana nae....Dogo nasikia ulilazwa wodi moja na Vengu alipo kuja JK kuwatembelea ukapona gafla lol
Afu shem kuna kitu mingine bana....... siku aliponipigia simu kua kaugua ghafla na kakimbizwa hospitali, nikajikuta nami napelekwa hospitali!! Khaa kupenda kubaya manake bajaji ilikimbizwa eti nawahi hospital utafikiri mie ndo daktari........ mtaro haukuwa na huruma na mimi, nikajikuta niko mtaroni kudadadeki!!
And when I die I'll keep on living........ for you my darling soulmate....I will love you till I kick the bucket!!Dont tell me hauko in love with me enimo
Haaaa!!! Jamani mwenzenu sasa nimeamini ninampenda sana mke wangu. Maana ni mara nyingi sana napata taabu sana nikiwa mbali naye hii ilitokea miaka miwili iliyopita kwa ridhaa yangu nilimruhusu aende kufanya MBA yake nje ya nchi ilimchukua mwaka mmoja na nusu lakini taaabu niliyoipata sitakuja kuisahau na nimejenga chuki na chuo alichokisoma kiasi kwamba nikisikia mtu anaenda chuo hicho mapigo yananienda kasi
Alolo...mapenzi yanarun duniaHaaaa!!! Jamani mwenzenu sasa nimeamini ninampenda sana mke wangu. Maana ni mara nyingi sana napata taabu sana nikiwa mbali naye hii ilitokea miaka miwili iliyopita kwa ridhaa yangu nilimruhusu aende kufanya MBA yake nje ya nchi ilimchukua mwaka mmoja na nusu lakini taaabu niliyoipata sitakuja kuisahau na nimejenga chuki na chuo alichokisoma kiasi kwamba nikisikia mtu anaenda chuo hicho mapigo yananienda kasi
Eeeehhh Kaka mkeo akisikia, sijui utakuwa ni moto wa kifuu! Badilisha kauli kabla hujazua varangati.Dah!! I think I am in LOVE .. HOUSE GIRL!!!
Cmon shem....... nilipona? kwamba nilikufa na kuna mtu anatumia ID yangu au? Sikufa bana ila cha moto nlikiona. Nikajikuta badala ya kumuuguza mai darling wife wangu, yeye ndo akawa ananiuguza!! Kibega kiligeukia upande wa pili kulaaaleki...Oh' Shem nafurahi for najua Mama Matesha has a real Man ambae anajua kupenda kweli... Ulipona lakini?? na uliwahi pia??
Hahaha amechuja mpwa nahamisha majeshi pale Zero pub vp usajili mpya?
Mi poa bi dada wataka kusikia nini?Kimey please do the needful na uniambie if you are/have ever been in Love.... (habari yako lakini)
kwa nini unanipigisha mapigo ya moyo kiasi hiki yaani nimetoka kidogo tu umebadilika hivi mpenzi wangu?? halafu tabia gani hiyo kupenda mashem zako......"kilio"And when I die I'll keep on living........ for you my darling soulmate....I will love you till I kick the bucket!!
......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing... - Soulmate!