Hey Pal.... Habari ya kazi? I like the fact you are keeping your promise....lol
Are you saying you saying you are in love wiht Gaga??
ngoja la aziz amsikie atajuta hahaaaa
Bahati yake leo hayupo... Shem ana wivu yule hadi kwa shemeji zake... Sembuse wee Soul mate! lol
ODM is here............ Watching!!yaani wivu hadi past tense
Kijana....... can you spell your name?G ... niko certified bana ... Adi analijua hilo!!
Sijambo soulmate.. yaani tangu juzi sijagusa tena humu yani mimemisije?Damn mkoloni!
Ngoja niwasalimu fasta..........
Soulmate na shem langu hamjambo?
hahahahahaha best mikono katika kudadis na kuperuzKweli mtu chake... Yaani ODM aligoma leo hagusi mahala hapa.... Sasa wee Gaga ile shughuli inahusiana nini na mkono.....lol
mi penda veve tuODM is here............ Watching!!
balance best lol mikono ndio mambo yotehahahhahaha.... Wakati wa shida huu waweza ukawa tu Una KISS sehem za kuperuz na kudadiss... (umesahau lile darasa la kiss ulitoa?) lol
Kijana....... can you spell your name?
best kwa physio therapy badae tena kidogo taratibu basi maana naeza kuta page ya mia
balance best lol mikono ndio mambo yote
Shiit!!Kinokia changu leo kinasumbua network!.....Sisi tunaoishi mabondeni a.k.a mtoni sijui nani atakua in..love nasi!Ooooh!Daaaam!Kumbe sijawasabahi,sijui ni mchana maana hata saa sina!Aaah habari zenyu?Au mwadira baghesh!Au shimboni!Au nesiliso mbonyi!Au aah kama yupo nimemsahau atajiju!Ooooh!Shiit!Ona hata dada nimemsahau,thikamoo dada!Maana ana nkwenzi zinaumaa huyo!Watakaosema nimechakachua watajiju!Dada aliniambi ni suna!
Hey, wassup?
Bado tunaongea vya falling in love au tumeingia other matters? Am I late?