Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
You seriously think I don't know?? lol....Yaan Ngabu hujikamatisha mwenyewe na nimemuona the way alikua anatafuta hio status akiwa na Mwita....
sasa mbona unamwaga kuku kwenye mchele mwingi bana?ngoja nijikunje niandae ka cv kangu,who knowshahahaaaaa mbavu zanguu mie.....anameremeta haiwezikua jamani au mwenzetu unaruhusiwa wake wawili?kanisa lipi hilo niende na mm.
Relax pal... take a deeep breath... then sasa tell me.... Have you ever been in love?? OR are you??
weweeeeeeeee alishindwa Diana princess of wales itakuwa Asha binti bishanga?hahaha.... Hayo mambo ya Nyumba Ndogo nipo kutafuta Greda... akina baba watokoma pamoja na nyumba ndogo zao ambazo nina mpango wakuacha tu vumbi!!! lol
MzimaOyaaa mzima weye?
sasa mbona unamwaga kuku kwenye mchele mwingi bana?ngoja nijikunje niandae ka cv kangu,who knows
The thing is, I don't have enough consistent osbservations to a make a robust conlusion. One day you are mumming, another day you are swearing. Another time you are in cloud nine, and before you know you are so low. It has always been a roller coaster.
Mzima
Habari yako wewe m
weweeeeeeeee alishindwa Diana princess of wales itakuwa Asha binti bishanga?
Ps: si umeona prince chale alivyotinga na nyumba yake ndogo jijini jana?
hahaha.... I know the feeling... It is crazy, but too the signs that you falling, maybe the swearing is more as a result of the fact that you don't like the new feeling.... what do you think??
Kevin Ambrose hiyo signature duh lol
kali....
Have you ever been in love??