Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Nimeweka bayana kabisa...hakuna discussion wala compromise kwenye cheating. Never. Kama mtu huwezi kuwa mwaminifu kwangu kwa asilimia 110 then kiss the relationship goodbye. That is not eccentric. That is knowing what you stand for and what you want.

I'm a little bit confused here,i need help.......Ally wa kitaa ndio NN ama??? Nisameheni bado mgeni mgeni kwenye jukwaa.
 
Ujumbe mzito sana. Tatizo AshaDii, wengine mioyo yetu imeshakuwa butu, na haina real feelings tena kama zamani!

Narudia na sitachoka kurudia Sherrif.... A heart that has been blessed to Love, will be broken but eventually utamend na utafall tena... Baada ya mda gani exactly?? I don't know... But it will and by God's Grace you will fall again, believe me you....
 
Sorry,out of topic.....Bishanga jamani nilikumisoo ile mbaya ulikua wapi wewe???huwa nikisoma post zako nacheka sanaaa. Enjoy ur kinywaji.
leo busy siku nzima nilikuwa nina cheat!
 
habari yangu mbaya,niko chinga tayari,leo napiga valuu (ooops usimwambie Dena!),sasa haka kasmsung ka nokia kataona vipi hiyo avatar? embu iache ikae angalau masaa 48 iniliwaze,it looks familiar to someone i fondly remember!!!!!!!!!!!

hahahaha... B' kama huwezi check usiku huu then imekula kwako...lol.... Alafu what has Dena got to do with anything??

nakiri niko lonely,lakini toka lini Asha ukawa oprah winfrey? Lol utasutwa!

........lol.... Yamekua hayo tena??? lol
 
Mama Tuli at the time being B' yupo peke yake you know? Alafu na wewe ni broken hearted...lol... You see what i mean??

You made me laugh chizi weweeee.......yani mpaka nimemshtua mwanangu kwa kicheko lol
umeambiwa usiusemee moyo,muache B achangamkie tenda mwenyewe lol lol
 
Hujambo Asha?

3. Bahati mbaya mimi ni mbumbumbu wa kompyuta,naomba utubandikie ule wimbo wa JD ule wa .....'usiusemee moyo'....
Jioni njema,naelekea kaunta,karibu,leo nitakuwa Haika bar,kinondoni, wana mishikaki mizuri pale.

Nilisaha la muhim B'.... Huyo hapo JayD kwa raha zako bana..... Enjoy....

Last edited by a moderator:
You made me laugh chizi weweeee.......yani mpaka nimemshtua mwanangu kwa kicheko lol
umeambiwa usiusemee moyo,muache B achangamkie tenda mwenyewe lol lol

Jamani yamekua hayo?? Mie thinking of your welfare bana.....lol.... Alafu hapo kwenye tender... ni tender gani vilee??
 
hahahaha... B' kama huwezi check usiku huu then imekula kwako...lol.... Alafu what has Dena got to do with anything??

........lol.... Yamekua hayo tena??? lol
lishem langu la ukweli Dena ndo limenifundisha kunywa valuu.
What has it gonna do with it? Hah? Si wewe una facilitate msogeleano? halafu umejuaje mi na wanyakyusa dam dam!
 
2. Are you mumming kila saa ama mara kwa mara?? Unakuta kila mara yaani wee unajisikia kuimba; kawimbo Fulani Fulani kanakutawala mara kwa mara akilini, moyoni hadi mdomoni… Hako ka music ni from nowhere but kako stuck in your heart and brain!

..Hapo Namba 2, kuna ka Wimbo kanaitwa HAKUNAGA, kameimbwa na Suma Lee, yaani hako kawimbo mpaka sasa sijui kwa nini kila mara najikuta tu nakaimba, popote nilipo nashtukia kamekuja tu from no where naanza kukaimba... duh
 
You made me laugh chizi weweeee.......yani mpaka nimemshtua mwanangu kwa kicheko lol
umeambiwa usiusemee moyo,muache B achangamkie tenda mwenyewe lol lol
Asha ananiona mi zuzu,we mwache tu,asubiri kengele zikilia,anameremeta,anameremeta ,ma tully anameremeta anameremeta....vigelegele jamani...kwa kwa kwa !!!!!!
 
Nilisaha la muhim B'.... Huyo hapo JayD kwa raha zako bana..... Enjoy....

mama mpenzi,usi delete hii post,hapa natumia ka simu ka mchina,nitasikiliza kesho kwenye PC ya boss.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom