Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

I have noted with a smile your discussion with AshaDii and I am sad that i can't follow you on PMs, coz I sort of 'feel' the same ingawa sina ushahidi. lol

You sort of feel the same huh? Bahati yako umesema huna ushahidi...lol
 
Hujambo Asha?
Ahsante kwa uzi mnono.
Mimi ya kwangu ni matatu:
1. NyaniNgabu wala asikukondeshe.Kutokana na machapisho yake,ni kweli when it comes to matters love ni eccentirc.Nitakupa mfano,Nyani yeye huwa anasisitiza kwamba akiwa katika mahusiano akisikia tu harufu ya cheating she is OUT,we uliona wapi hiyo? Kawaida katika mapenzi kuna kukoseana na kusameheana ati,that is the norm,position yake ni eccentrism.
2. Chondechonde nakuomba ubandike ile avatar niliyokuomba,angalau for a week or so!
3. Bahati mbaya mimi ni mbumbumbu wa kompyuta,naomba utubandikie ule wimbo wa JD ule wa .....'usiusemee moyo'....
Jioni njema,naelekea kaunta,karibu,leo nitakuwa Haika bar,kinondoni, wana mishikaki mizuri pale.
 
That is a standard and not an eccentric. I just happen to have high standards and I refuse to put up with any kind of shit.

Why be with someone who deprives you of your happiness and peace of mind? Not I. I am not that desperate to hang on to someone like that. Never have and never will.

Yes, I too, believe in forgiveness. But there are some things that are just not forgivable in my book. Now, if that is eccentric then so be it. But I am never bashful about expressing my stances and in my objective opinion that is not eccentric.
 
Mkuu hako ka red hako,hicho ni kielelezo dhahir bin dahar cha eccentrism,jaribu kuitafuta middle ground Mkuu,hata katika matters love.
 
Mkuu hako ka red hako,hicho ni kielelezo dhahir bin dahar cha eccentrism,jaribu kuitafuta middle ground Mkuu,hata katika matters love.

Nimeweka bayana kabisa...hakuna discussion wala compromise kwenye cheating. Never. Kama mtu huwezi kuwa mwaminifu kwangu kwa asilimia 110 then kiss the relationship goodbye. That is not eccentric. That is knowing what you stand for and what you want.
 
Hii huwa inapagawisha sana, mbaya mdomo uwe zege afu ni mfanyakazi mwenzio. Basi wenzio wanakushangaa mbona walowesha kwapa kama una kisukari?
Umependa wewe kwa ajili yako na wala sio wengine watasema nini.
Wewe bakia na ukweli kuwa mapenzi kipofu, ukipenda chongo, apendae hachagui...uwawache watu na blah blah blah zao.
 
I'll be patiently waiting...hopefully those several hours won't turn into days, weeks, and/or months!

Dah! I see you are banned... Wori not am a person of my word...
 
Umependa wewe kwa ajili yako na wala sio wengine watasema nini.
Wewe bakia na ukweli kuwa mapenzi kipofu, ukipenda chongo, apendae hachagui...uwawache watu na blah blah blah zao.

Hivi unadhani hata wakisema unajali wala kusikia? Inakuwa kama umevaa miwani ya mbao, unamaliza kunywa chai unapeleka kikombe chooni, unajistukia na kurudi kimya kimya. Unadelete payrol ya kampuni nzima bahati kuna back up system. Haya mambo msiyaseme kirahisi ivo.
 
duh.. Hapo ka ukijua haupo peke yako. Dingi anakula, madogo pia wanaponea hapo.
Chunguza kwanini madogo wakija likizo huwa wanapaka bawaba za mlango wa bek3 mafuta....

Hii post imenichekesha mpaka basi.....lol... Nami niligusia hilo suala kwa Fidel.....
 
I have noted with a smile your discussion with AshaDii and I am sad that i can't follow you on PMs, coz I sort of 'feel' the same ingawa sina ushahidi. lol

Dah! at least you are off the hook! lol... So clever of you....
 
Habari yako B'... Umeng'angania ile avatar balaaa.... In courtesy ya hii post uloandika hapa ambayo ni so useful naweka Avatar ile only for the nite... Hopefully umeridhika na hapo Haika Bar cm yako ime na PC mode uweze ona... For nikiitoa sirudishi tena.....
 
Sorry,out of topic.....Bishanga jamani nilikumisoo ile mbaya ulikua wapi wewe???huwa nikisoma post zako nacheka sanaaa. Enjoy ur kinywaji.
 
Hii post imenichekesha mpaka basi.....lol... Nami niligusia hilo suala kwa Fidel.....

we kwani hujui bek3 anatembeaga na nyumba nzima?
Yani uki fall kwa bek3 wa nyumbani ujue wadogo/kaka zako wanapona hapo hapo. Waulize wadau kama si kweli wanapakaga milango ya bek3 mafuta ili isitoe sauti night wakati wakinyatia kwenda kula mzigo.
 
Ujumbe mzito sana. Tatizo AshaDii, wengine mioyo yetu imeshakuwa butu, na haina real feelings tena kama zamani!
 
Sorry,out of topic.....Bishanga jamani nilikumisoo ile mbaya ulikua wapi wewe???huwa nikisoma post zako nacheka sanaaa. Enjoy ur kinywaji.

Mama Tuli at the time being B' yupo peke yake you know? Alafu na wewe ni broken hearted...lol... You see what i mean??
 
we kwani hujui bek3 anatembeaga na nyumba nzima?
Yani uki fall kwa bek3 wa nyumbani ujue wadogo/kaka zako wanapona hapo hapo. Waulize wadau kama si kweli wanapakaga milango ya bek3 mafuta ili isitoe sauti night wakati wakinyatia kwenda kula mzigo.

Kweli kabisa sijawahi fikiria in those terms... asante kwa kunifungua macho.... Yaani nasikitika tu sidhani kama hua wanatumia ndoms....
 
habari yangu mbaya,niko chinga tayari,leo napiga valuu (ooops usimwambie Dena!),sasa haka kasmsung ka nokia kataona vipi hiyo avatar? embu iache ikae angalau masaa 48 iniliwaze,it looks familiar to someone i fondly remember!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…